Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

Wanawake muzidi kuweka vigezo viwe vikubwa vya kutisha Ikiwezekana msitoe mbususu Kwa waliowaoa hatuhitaji binadamu wengine tumeshatosha Duniani watu bilioni 7 ni wengi Sana Duniani.
 
kwanini bora nyie wakati ndo mnaostrugle kutupata
Kitu ambacho wanaume wengi hatuelewi ni kuwa mwanamke akikupenda huwezi struggle kumpata, hivyo mm maximum natumia wiki 1 tu kumtongoza mdada, siku 2 za kufahamiana naye, siku 5 za yeye ku-play hard to get, asipoeleweka ndani ya muda huo eti awe ananipa majibu ya dharau, matusi, ananiambia anakuja hlf asije, mara aniombe hela, mimi namkimbia.

Mwanamke akitamani zaidi, hata siku hiyo hiyo mnayokutana unaweza mpata, au ndani ya siku mbili.

Nimegundua huu ujinga wa kufuatilia mwanamke miezi 8 hadi mwaka ni kupoteza muda, mwanamke yoyote anajua mwanaume anayemtaka, akimwona ndani ya sekunde chache tu kama sisi, anajua huyu mwanaume ni type yangu au la, jibu tayari analo kichwani Leejay49
 
Jamani jamanii 🙆
 
umejibu vyema sana
 
Uko sahihi kiasi kikubwa
 
Mkuu una tatizo gani? Mada zako kila mara hapa jukwaani ni za Mapenzi tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…