Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

Sahihi kabisa, hii nimeiona Kwa mpenzi wangu ... Anakuwa excited na hicho utakachomwambia hajui nini utafany au mfanye kukimalisha
 

Watu hawana wapenz na hamsemii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnakatisha tamaa sana wakuu , kila mada kuhusu wanawake ni upande wa mabaya tu iv ni kwel kwamba hawa watu hawana mazuri?
 
Mnakatisha tamaa sana wakuu , kila mada kuhusu wanawake ni upande wa mabaya tu iv ni kwel kwamba hawa watu hawana mazuri?
Tuna comment kutokana na uzi ulivyo mkuu
Sasa kwa heading hiyo ulitaka tuwasifie kama mama zetu waliotulea miezi 9 tumboni?

Lucky dude anasema β€œgod bless women β€œ
Hata mimi nasema mwenezi mungu awabariki wanawake wote duniani...

Ila ili uende nao sawa ndio hapo inahitaji akili yako
 
Ni kwel mkuu ila wanaume inabdi tuwe wanaume kwel wengi wanalia lia tu bila wao kuwa na msimamo ,mfano upendi kuombwa pesa kwenye mapnz mwambie kwa kunyooka nakutaka ila sitakupa pesa kama kigezo cha mapnz , mpe mwanamke pesa au msaada kwa wewe kupenda na sio yeye akuuendeshe , tatizo tunaishi maisha ya kuigiza ndio maana tuna lialia .
 
πŸ“Œ mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…