Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

Ndio. Ex harudiwi, hasa hasa wale wanakuacha kwa nyodo kama zote alafu badae wanataka kurudi.
Mimi huwa nawapiga matukio weeeh nikiona anakomaa namgonganisha na mwanzake, basi atakasirika na kususa after two days au hata wiki anajigongesha tena kurudi na hata akipata mahusiano mapya hayadumu anarudi
 
Ingawa umekosea namba 5 zipo mbili.

Nianze na namba 1. Msimamo na namba 5 ya pili umesema msimamo

Unakuwaje na msimamo na utani at the same relationship mkuu?
Kwa mfano mimi nna msimamo wa kutokupigiwa simu kuanzia saa nne usiku, pia simu za mara kwa mara na msg na wananielewa kabisaa na vile vile utani unakuwepo bila kuadhiri misimamo yangu
 
Kwa mfano mimi nna msimamo wa kutokupigiwa simu kuanzia saa nne usiku, pia simu za mara kwa mara na msg na wananielewa kabisaa na vile vile utani unakuwepo bila kuadhiri misimamo yangu

Kuwa makini hiyo misimamo yako iko siku atazani unatania.
 
Back
Top Bottom