Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Sawa sawa.Ustaarabu unaosema ni ile mtu anakuwa mstaarabu hadi kuvaa kwake nguo ni kama mzee wa miaka 60.
Mitoko hakuna, hana exposure ya vitu vingi, ye ni kanisani, kazini na nyumbani.
Pombe hanywi, yupo too seriously.
Kwa hawa dada zetu wa kupanda juu ya meza huku ile nyimbo inachezami napenda shishaaaaa shishaaaaa shishaaaa....
Si kweli kwamba wanawake hawapendi wanaume wastaarabu kwa sababu kuna wanaume wastaarabu wanavuta bangi, kunywa pombe n.k

mi napenda shishaaaaa shishaaaaa shishaaaa....