Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

Kiazi kweli, yeye huyo mwanamke ni nani kwenye maisha yangu hadi nianze kufikiria ni jinsi gani asiniache kirahisi? Kwanini yeye ndo asifanye hizo jitihada ili nisimuache kirahisi

Mi sijali chochote.
Mi nakubaliana na hii attitude kikubwe usiwe unaliaga kwenye kioo cha chooni peke ako
 
Mambo vip,

Nataka niende straight kwa point,

Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine??

Kwanza nataka mtoe akili yakwamba mi nna mkwanja laah... yaani kwajinsi nilivo na maisha magumu kwa ndani (kwa nje huwezi dhania)
Na pia ni bahili mbaya mnoo hasa wa kuhonga otherwise tuspend tukiwa pamoja

Iko hivi, namna nnavoishi nao ni kama hivi;
1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia

2. Experience.. hawa dada zetu wanataka mwanaume mwenye uzoefu wa mambo mengi ya maisha hasa mahusiano. Mpe mifano ya mahusiano mbalimbali ilivofanikiwa na kufa.

3. Onyesha kujali hata pasipo uwezo... onyesha kua ulitamani kumfanyia kitu flani alipopatwa na tatizo ukakwamishwa na pesa, muda (kuchelewa), umbali, jamii nk

4. Toa maana ya kila zawadi...
hii hata ukimpelekea pipi mweleze inamaana gani katika maisha yako na yake.

5. Toa Uhuru...
mpe uhuru wa kufunua hisia zake na kuzikubali.. hapa atakwambia aina ya sex position azipendazo, amefika au hajafika kileleni na mambo mengine mengi.

5. Utani na kutaniana...
kifupi kua mwaaume sio ukauzu na kukoroma koroma tuu.

6. Usikae kinyonge..
lazima ajue akizingua fasta ukosi chombo ingine yaan amsha amsha ziwe nyingi sio kila mara kumlilia na kumsifia ooh malaika sijui wewe kwako sijiwezi sijui ng'ang'a nyingi kana kwamba wewe (mwanaume) umeumbwa kwa ajili yake wakati yeye (mwanamke) ndo aliumbwa kwa ajili yetu... kifupi wanawake hawapendi weak men.

7. Usiwe na Huruma naye wala ustaarabu kwenye Sex... narudia tena hapa usimuonee huruma hata kama unamheshimu sijui unasali nae au anaonekana mtu wa dini saana... aiseeh do hardly, roughly and scream horror kuonesha una enjoy na kujua kazi ya uanaume wako.

🙄 Angalizo ukifanya hivi watakuroga na kukutia nuksi... mi mwenzunu sikuhiizi sipati hela maana kila demu anantolea chozi et kwann nimumuacha..

Fanya kwa demu uko na future nae au wife..
Hoja zako zote ni sahihi.
Isipokuwa hiki la rough riding nguvu zenyewe ziko wap sasa! Km unataman kula had VAT!
 
Sisi wengine Mapenzi yashatushinda. Coz we love too much, so ukiwa na pesa utaumizwa, ukiwa Huna pesa utaumizwa, uwe handsome or not utaumizwa tu. Romantic or kinda rude utaumizwa tu.
Hayanaga formula ni mpaka umuotee mmoja mwenye atakuwa loyal na kwa kiźazi hiki wamebaki wawili tu mimi na mwingine sijui nani😅😂😂
Yaani unakuta mtu yupo serious anataka kukumiza kwa makusudi, hii kizazi ya hovyo sana!
 
Sisi wengine Mapenzi yashatushinda. Coz we love too much, so ukiwa na pesa utaumizwa, ukiwa Huna pesa utaumizwa, uwe handsome or not utaumizwa tu. Romantic or kinda rude utaumizwa tu.
Hayanaga formula ni mpaka umuotee mmoja mwenye atakuwa loyal na kwa kiźazi hiki wamebaki wawili tu mimi na mwingine sijui nani😅😂😂
Yaani unakuta mtu yupo serious anataka kukumiza kwa makusudi, hii kizazi ya hovyo sana!
 
Baada ya kufanya yote haya pitia hapa subscribe my channel
Screenshot_20240714-185815_1.jpg
 
Back
Top Bottom