Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Tunachangamsha uzi usogee.Oyaa mbona unamlegezea sauti kwenye uzi wanngu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachangamsha uzi usogee.Oyaa mbona unamlegezea sauti kwenye uzi wanngu??
Ndo naishi ivo kitambo mzeeKuwa makini hiyo misimamo yako iko siku atazani unatania.
Nimeku follow mwananguTunachangamsha uzi usogee.
[emoji23][emoji23] tushapeana salamu ndio.Mshapeana nyinyi[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji106]Nimeku follow mwanangu
Kwamba saa nne unakua ushalala ama ni nini kinakufanya usitake kupigiwa muda huo au una michepuko unaogopa kukamatwa?Kwa mfano mimi nna msimamo wa kutokupigiwa simu kuanzia saa nne usiku, pia simu za mara kwa mara na msg na wananielewa kabisaa na vile vile utani unakuwepo bila kuadhiri misimamo yangu
Hamnanilikua nakuheshimu sana mkuu ila dah kumbe amna kitu 😂
Uongo!Mambo vip,
Nataka niende straight kwa point,
Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine??
Kwanza nataka mtoe akili yakwamba mi nna mkwanja laah... yaani kwajinsi nilivo na maisha magumu kwa ndani (kwa nje huwezi dhania)
Na pia ni bahili mbaya mnoo hasa wa kuhonga otherwise tuspend tukiwa pamoja
Iko hivi, namna nnavoishi nao ni kama hivi;
1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia
2. Experience.. hawa dada zetu wanataka mwanaume mwenye uzoefu wa mambo mengi ya maisha hasa mahusiano. Mpe mifano ya mahusiano mbalimbali ilivofanikiwa na kufa.
3. Onyesha kujali hata pasipo uwezo... onyesha kua ulitamani kumfanyia kitu flani alipopatwa na tatizo ukakwamishwa na pesa, muda (kuchelewa), umbali, jamii nk
4. Toa maana ya kila zawadi...
hii hata ukimpelekea pipi mweleze inamaana gani katika maisha yako na yake.
5. Toa Uhuru...
mpe uhuru wa kufunua hisia zake na kuzikubali.. hapa atakwambia aina ya sex position azipendazo, amefika au hajafika kileleni na mambo mengine mengi.
5. Utani na kutaniana...
kifupi kua mwaaume sio ukauzu na kukoroma koroma tuu.
6. Usikae kinyonge..
lazima ajue akizingua fasta ukosi chombo ingine yaan amsha amsha ziwe nyingi sio kila mara kumlilia na kumsifia ooh malaika sijui wewe kwako sijiwezi sijui ng'ang'a nyingi kana kwamba wewe (mwanaume) umeumbwa kwa ajili yake wakati yeye (mwanamke) ndo aliumbwa kwa ajili yetu... kifupi wanawake hawapendi weak men.
7. Usiwe na Huruma naye wala ustaarabu kwenye Sex... narudia tena hapa usimuonee huruma hata kama unamheshimu sijui unasali nae au anaonekana mtu wa dini saana... aiseeh do hardly, roughly and scream horror kuonesha una enjoy na kujua kazi ya uanaume wako.
🙄 Angalizo ukifanya hivi watakuroga na kukutia nuksi... mi mwenzunu sikuhiizi sipati hela maana kila demu anantolea chozi et kwann nimumuacha..
Fanya kwa demu uko na future nae au wife..
Hili toleo jipys mzeeList ni batili kwa sababu kuwa na hela nyingi kumzidi yeye haijatajwa
Si ndo unatengeneza mazingira mapema, tena unakua mkali kweli kwamba mda huo unakua ushalalaKwamba saa nne unakua ushalala ama ni nini kinakufanya usitake kupigiwa muda huo au una michepuko unaogopa kukamatwa?
Mwanangu mi nazungumzia nnayoyaishi sio kuhadisiwa ni kweli wapo waliopata ma lodi lofa na bado walikua wananiletea mpaka mkwanjaUongo!
Ngoja apate lodi lofa!
Atakukimbia kama kipepe na utapokea matusi yote wayajuayo wanawake!
[emoji17] jamani sasa hayo ndio mapenzi gani?Si ndo unatengeneza mazingira mapema, tena unakua mkali kweli kwamba mda huo unakua ushalala
Mapenzi ni kama kuwahi nyota ya mwenzako kwakumshika mkono, mkono wako ukiwa juu ndo ushamlalia ivo hainuki tenaaaa unamtawala tuu....[emoji17] jamani sasa hayo ndio mapenzi gani?
Sawa sawa.Mapenzi ni kama kuwahi nyota ya mwenzako kwakumshika mkono, mkono wako ukiwa juu ndo ushamlalia ivo hainuki tenaaaa unamtawala tuu....
So inawezekana kabisa na utaelewa tuu
Changamoto ya mwanamke kukung'ang'ania ni ngumu sana.Mambo vip,
Nataka niende straight kwa point,
Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine??
Kwanza nataka mtoe akili yakwamba mi nna mkwanja laah... yaani kwajinsi nilivo na maisha magumu kwa ndani (kwa nje huwezi dhania)
Na pia ni bahili mbaya mnoo hasa wa kuhonga otherwise tuspend tukiwa pamoja
Iko hivi, namna nnavoishi nao ni kama hivi;
1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia
2. Experience.. hawa dada zetu wanataka mwanaume mwenye uzoefu wa mambo mengi ya maisha hasa mahusiano. Mpe mifano ya mahusiano mbalimbali ilivofanikiwa na kufa.
3. Onyesha kujali hata pasipo uwezo... onyesha kua ulitamani kumfanyia kitu flani alipopatwa na tatizo ukakwamishwa na pesa, muda (kuchelewa), umbali, jamii nk
4. Toa maana ya kila zawadi...
hii hata ukimpelekea pipi mweleze inamaana gani katika maisha yako na yake.
5. Toa Uhuru...
mpe uhuru wa kufunua hisia zake na kuzikubali.. hapa atakwambia aina ya sex position azipendazo, amefika au hajafika kileleni na mambo mengine mengi.
5. Utani na kutaniana...
kifupi kua mwaaume sio ukauzu na kukoroma koroma tuu.
6. Usikae kinyonge..
lazima ajue akizingua fasta ukosi chombo ingine yaan amsha amsha ziwe nyingi sio kila mara kumlilia na kumsifia ooh malaika sijui wewe kwako sijiwezi sijui ng'ang'a nyingi kana kwamba wewe (mwanaume) umeumbwa kwa ajili yake wakati yeye (mwanamke) ndo aliumbwa kwa ajili yetu... kifupi wanawake hawapendi weak men.
7. Usiwe na Huruma naye wala ustaarabu kwenye Sex... narudia tena hapa usimuonee huruma hata kama unamheshimu sijui unasali nae au anaonekana mtu wa dini saana... aiseeh do hardly, roughly and scream horror kuonesha una enjoy na kujua kazi ya uanaume wako.
🙄 Angalizo ukifanya hivi watakuroga na kukutia nuksi... mi mwenzunu sikuhiizi sipati hela maana kila demu anantolea chozi et kwann nimumuacha..
Fanya kwa demu uko na future nae au wife..
Ustaarabu unaosema ni ile mtu anakuwa mstaarabu hadi kuvaa kwake nguo ni kama mzee wa miaka 60.Wahuni wahuni. Wadada wengi hawapendi wanaume wastaarabu.

mi napenda shishaaaaa shishaaaaa shishaaaa.... Hapo mahusiano hakuna.Inakera kuliko mbu anayelilia maskionChangamoto ya mwanamke kukung'ang'ania ni ngumu sana.