Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

Kwa mfano mimi nna msimamo wa kutokupigiwa simu kuanzia saa nne usiku, pia simu za mara kwa mara na msg na wananielewa kabisaa na vile vile utani unakuwepo bila kuadhiri misimamo yangu
Kwamba saa nne unakua ushalala ama ni nini kinakufanya usitake kupigiwa muda huo au una michepuko unaogopa kukamatwa?
 
Uongo!
Ngoja apate lodi lofa!
Atakukimbia kama kipepe na utapokea matusi yote wayajuayo wanawake!
 
Kwamba saa nne unakua ushalala ama ni nini kinakufanya usitake kupigiwa muda huo au una michepuko unaogopa kukamatwa?
Si ndo unatengeneza mazingira mapema, tena unakua mkali kweli kwamba mda huo unakua ushalala
 
Uongo!
Ngoja apate lodi lofa!
Atakukimbia kama kipepe na utapokea matusi yote wayajuayo wanawake!
Mwanangu mi nazungumzia nnayoyaishi sio kuhadisiwa ni kweli wapo waliopata ma lodi lofa na bado walikua wananiletea mpaka mkwanja
 
[emoji17] jamani sasa hayo ndio mapenzi gani?
Mapenzi ni kama kuwahi nyota ya mwenzako kwakumshika mkono, mkono wako ukiwa juu ndo ushamlalia ivo hainuki tenaaaa unamtawala tuu....

So inawezekana kabisa na utaelewa tuu
 
Changamoto ya mwanamke kukung'ang'ania ni ngumu sana.
 
BGD6DUNYHWW Imethibitishwa Tsh500,000.00 imetumwa kwa ...

Umepokea TSh 200,000 kutoka kwa Wakala -

Utambulisho wa Muamala: 2370468. Umepokea TSH 100.000 kutoka ...
 
Wahuni wahuni. Wadada wengi hawapendi wanaume wastaarabu.
Ustaarabu unaosema ni ile mtu anakuwa mstaarabu hadi kuvaa kwake nguo ni kama mzee wa miaka 60.
Mitoko hakuna, hana exposure ya vitu vingi, ye ni kanisani, kazini na nyumbani.
Pombe hanywi, yupo too seriously.



Kwa hawa dada zetu wa kupanda juu ya meza huku ile nyimbo inacheza mi napenda shishaaaaa shishaaaaa shishaaaa.... Hapo mahusiano hakuna.

Si kweli kwamba wanawake hawapendi wanaume wastaarabu kwa sababu kuna wanaume wastaarabu wanavuta bangi, kunywa pombe n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…