Naomba kuvifahamu hvy vyamaWakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi
Uwe unamsoma Mohamed SaidNaomba kuvifahamu hvy vyama
Sawa bossUwe unamsoma Mohamed Said
Kwa kifupi humu kuna jukwaa la historia, tenga muda kidogo tembelea uko ndio maskani ya Mzee Mohamed.Sawa boss
Mtu mjinga huwezi mpa uhuru wa kujiamulia kabla hajastaarabika.Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye yamekuwa na matokeo mengi mchanganyiko kwa taifa hili?
Kama suala ni ardhi tu kwa nini mabadiliko yaligusa mpaka siasa na sheria za nchi ? Kwa nini kusingekuwa na mabadiliko ya sheria kuhusu umiliki wa ardhi ?Mtu mjinga huwezi mpa uhuru wa kujiamulia kabla hajastaarabika.
Angekosea tuu hapo ,Ardhi ya Nchi hii ingekuwa ya wachache sana
Kwani Utawala ni aspect Moja tuu?Kama suala ni ardhi tu kwa nini mabadiliko yaligusa mpaka sheria za nchi ? Kwa nini kusingekuwa na mabadiliko ya sheria kuhusu umiliki wa ardhi ?
Mabadiliko ya kisheria kuhusu umiliki wa ardhi hata Singapore walifanya na wala sio nchi ya kikomunisti
Alikuwa hajuwi alifanyalo.
Kulikuwa na huo uhitaji wa kubali mambo mengi ?Kwani Utawala ni aspect Moja tuu?
Hujuwi ulisemalo.nchi nyingi za kiislamu zilifwata communism kama labda ulikuwa haufahamu, unaweza hata kwenda na kusema uislamu = communism …
Hilo ni jibu sio swaliKulikuwa na huo uhitaji wa kubali mambo mengi ?
Au tatizo alikuwa ardhi pekee ?
nchi nyingi za kiislamu zilifwata communism kama labda ulikuwa haufahamu, unaweza hata kwenda na kusema uislamu = communism …
Hujuwi ulisemalo.
Mada hapa ni Nyerere.
Hakuwa na hoja ya msingi. Alidai anataka kuondoa tabaka la walionacho na wasio nacho,, Nyerere kwa kweli sio mfano wa kuigwa na nchi mpaka leo haiendelei sababu ya kuiga fikra zake zote, hata mambo ya kutekana yalianza hukoWakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye yamekuwa na matokeo mengi mchanganyiko kwa taifa hili?