Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ni washirikina so poa...yupo mmoja ni mke wa uncle...kachangia sanaa kumuondoa na sasa hiv kauza magari aliyoacha..wabena hapana aysee...labda wahehe kidogo
Alikulia wapi mkuu maana inategemea pia [emoji1787]Ndiyo kina Haule?, Basi kama ni hao, kuna mmoja hapa kaolewa na harusi Kanisani kwetu ni hata mwaka haujaìsha wameachana.
Hahahaha, huko huko kijijini haswaaa, sema sijui ndiyo ukanda huo huo au vipi.Alikulia wapi mkuu maana inategemea pia [emoji1787]
Nmeliona hili....yule mwanamke ana roho mbaya sijapata ona....ila sasa anavyojua kuigiza ni mwema na mkarimu huwez kama humjui unaeza sema huyu ni malaika kashushwaHata wahehe ni hivyo.
Washirikina na wachawi sana,
Na mioyo yao migumu sana,
Usione kimya kwa nje ndani ni wauaji.
Ogopa mtu ambae yupo tayari kujidhuru yeye nafsi yake sembuse mtu mwingine?
Kuoa ni kama betting...alijikuta kaopoa tu...ila wengi wao wapo hivyo hivyo....ni wazur wa kuigiza kuwa ni wema ila ni katili na wauwaji hakuna mfanoHuyo Mjomba wako aliishirikisha akili yake na Mungu au alijiamulia tu kuopoa jiko kimihemuko (hisia/mahaba)?
Kwanini Ke mmoja atumike kigezo kwa Ke wengine wote kuwa ni Washirikina?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Loyal not RoyalInasemekana wako royal sana
Ni washirikina so poa...yupo mmoja ni mke wa uncle...kachangia sanaa kumuondoa na sasa hiv kauza magari aliyoacha..wabena hapana aysee...labda wahehe kidogo
Ingependeza usome post nzima, Juu kabisa ya post imeweka wazi sifa ya kabila flani sio kwa kila mtu bali imezoeleka kwa wengi (sio wote), kumcheki moja moja ni sawa na kumkuta mhaya ambae hajaenda shule useme kwamba wahaya hawajaelimikaHata wahehe ni hivyo.
Washirikina na wachawi sana,
Na mioyo yao migumu sana,
Usione kimya kwa nje ndani ni wauaji.
Ogopa mtu ambae yupo tayari kujidhuru yeye nafsi yake sembuse mtu mwingine?
Ukiona jambo linajirudia kwa namna ile ile ujue kuna ukweli ndani yake ila nashauri mkioana kabila moja ni bora zaidi tatizo la vijana wengi wanadhani mke huokotwa popote kwa kuwa tu mmekutana mjini.Narudi kwetu njombe, kutafuta jiko
Mwanamke wa Kinyakyusa anapenda kumtawala mume. Ni wachapakazi ila shida yao ni hapo. Ukienda nyumba yenye mke mnyakyusa utajionea anavyompanda mumewe kichwaniIla wanyakyusa wanakiburi sana kiukweli
Wanawake wa Arusha na Moshi wanapenda sana starehe hata kwenye mabar mengi mijini ndio walio wengi muwe nao makini msije kuoa baamed.Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material,
Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari / chuoni na maisha ya ndoa rasmi.
Hata mimi nimekutana na wanawake wengi mashuleni, mtaani, majirani, n.k. katika wale wabena na wahehe ambao nawajua wameolewa ni nadra sana kusikia ndoa zao zina drama na scandal.
Wapo Loyal kwa waume zao Kudumu kwenye ndoa wavumilivu kwenye ndoa, Akina Segito -hawana tamaa ya mali, -Kujua kulea watoto -Kuishi vizuri na ndugu wa mwanaume (labda tatizo liwe upande wa ndugu wa mwanaume) Wapo loyal ila hakuna kitu wanachukia kama kuwatenda, hakimbilii mahakamani kuomba ndoa ivunjwe bali kwa heshima ya ndoa na kuwajali watoto atakuvumilia muishi wote lakini hapo mapenzi unakuwa ushayaua.
Hata Rais Mwinyi wa Zanzibar nae kavuta huko Iringa japo ni mkristo, kwa wale tunaoangalia habari ni jambo la Kawaida Mwinyi kumsifia hadharani mke wake mara kwa mara katika hotuba.
JE ni utamaduni, familia, malezi au ni sababu zipi zimewafanya wapate title hii ?
hili swala linazungumzwa sana,Ukiona jambo linajirudia kwa namna ile ile ujue kuna ukweli ndani yake ila nashauri mkioana kabila moja ni bora zaidi tatizo la vijana wengi wanadhani mke huokotwa popote kwa kuwa tu mmekutana mjini.
Kuna ndugu yangu muhehe,ni TISS,.sio wanawake tu, hata wanaume ni wavumilivu sana, ila uvumilivu ukiwashinda utaomba poo na huwa hawajibembelezi sanaa. Hii ndio ilifanya Nyerere akawa anawachukua wengi kuwa TISS, zamani tiss wengi walitoka uheheni kwasababu ya roho ngumu ya kutunza siri na uvumilivu. kwa wale wakongwe mnakumbuka zamani ilikuwa obvious, tiss ni uheheni, bima wanyakyusa, TRA wachagga, hao wengine waliobaki walikuwa wasindikizaji tu. hadi leo wahehe wengi sana ni TISS.