Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Alitumwa na Mwendawazimu wa Chato.Sabaya alitumwa na nani kuuwa upinzani
Alitumwa na mungu wa MATAGA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitumwa na Mwendawazimu wa Chato.Sabaya alitumwa na nani kuuwa upinzani
Alikuwa anakimbia kwa kasi kuliko miguu yake.Mme kasahau ka Patrobas Katambi kalivyo kuwa kaaitisha vyombo vya habari kumchafua Mbowe na Lisu sasahivi kamejificha kwenye mti wa muhindi
kumfaham mtu.. hakuzuii asifanye maovu.Kwa tunaomfahamu Sabaya, hizi tuhuma zote anazopewa ni za kutungwa na wanaccm, tutasimama nae hadi apate haki zake.
ukishapata doa kama hili. hata kama ukirudi. huto aminika na taasisi yoyoteKama Ni kweli hicho kilichoandikwa kumhusu huyu jamaaa, Basi Kuna Mengi Mabaya Tena kuanzia kwa familia yake.
Ila nahisi kabisa atakuwa kajiona mjinga Sana maana CV yake keshaichafua Sana na Kama ana pesa itaisha tu. Maana Jina lake limeshaanza kumsadifu.
Nina mashakaSabaya akafungua bonet na kutia chumvi kwenye Engine
Unarudi liniNimekuwa nikiishi nje ya nchi kama diaspora tangu miaka ya 2010
Umepanick meeinNa www unakubali tu hizi porojo hatakama sabay ana mapingufu mengi ila hii hadithi hainamashiko
Janga la Corona likipunguaUnarudi lini
Aliyemtuma yuko peponi!Sabaya alitumwa na nani kuuwa upinzani
Kanusha kwa maelezo yako, anzia gari ilipopata hitilafu!Na www unakubali tu hizi porojo hatakama sabay ana mapingufu mengi ila hii hadithi hainamashiko
Sabaya alikuwa mmoja ya madc wenye maadili ya juuu, mno kumzid hata msando albertkumfaham mtu.. hakuzuii asifanye maovu.
for the record tu ni kuwa ameshtakiwa na serikal ya ccm.
albert msando ni wakili tu. si dcSabaya alikuwa mmoja ya madc wenye maadili ya juuu, mno kumzid hata msando albert
Sabaya akiwa Dc alikuwa kiongozi mchapakazi kuliko wote Africaalbert msando ni wakili tu. si dc
pili maadali yanapimwa na perfomance yake kazini. sio kwa maneno unayoyasema ww.
serikal ya ccm imeona hana hana maadili. amekosa maadali ya kiuongozi. wamefungua kesi.
ww huwez kubadili upepo wa kesi yake kwa kusema tu "ana maadili kuliko flani"
ulikuwa bosi wake ? but even though, can you prove in court?