Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Ilitakiwa wamuue kabisa
 
Nahisi hii ni mind game kwa watawala, kwanza mmeanza anaachiwa tarehe 15, then kapigwa, hizi taarifa mnazipata wapi?

Mbona zinafuatana sana kumuhusu mtu mmoja?
Wanatest ili kuona raia wanasemaje juu yake.
 
Pole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
Ni kweli....ila bado ana haki zake kama mahabusu...

Kipigo kikali kupindukia na uonevu wowote (kama upo) haukubaliki.
 
Mind game hii....huenda wanaandaa mazingira ya kumuachia huru...
 
Huyu jamaa alikuwa akija sehemu ya hadhi alikuwa ananifurahisha na style yake ya kuongea alafu anaangalia watu huku anatabasamu kana kwamba yeye yupo juu ya watu wote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…