Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Ilitakiwa wamuue kabisa
 
Nahisi hii ni mind game kwa watawala, kwanza mmeanza anaachiwa tarehe 15, then kapigwa, hizi taarifa mnazipata wapi?

Mbona zinafuatana sana kumuhusu mtu mmoja?
Wanatest ili kuona raia wanasemaje juu yake.
 
Pole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
Ni kweli....ila bado ana haki zake kama mahabusu...

Kipigo kikali kupindukia na uonevu wowote (kama upo) haukubaliki.
 
tuliosoma cuba tumeshajua the motive behind ya hii thread.

soon atakuwa uraiani, ila nyinyi wafaidika wake, mwambieni huku mtaani hali imeshabadilika, hakuna ule ushamba wa kutishana na kuulizana wapi umetoa pesa.

watu wanajiachia na fedha zao bila hofu.
Mind game hii....huenda wanaandaa mazingira ya kumuachia huru...
 
Huyu jamaa alikuwa akija sehemu ya hadhi alikuwa ananifurahisha na style yake ya kuongea alafu anaangalia watu huku anatabasamu kana kwamba yeye yupo juu ya watu wote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom