Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Sawasawa mkuu... RUDIA WAKUELEWEMbowe ni mtiifu na msikivu siyo kama hilo lifisadi lenu linajifanya TISS hata huko korokoroni lazima akung`utwe bakora
HANA ADABU HUYO JAMAA πNakumbuka alivyo mfanyia dhihaka mkuu wa mkoa yule mama aliyefariki
ππππππππππ
Mdogo wangu umedangangwa sana una safari ndefu ya kuelekezwaUkiwa na makosa ya jinai kama ni TISS member wala huchui round mjomba... kuna jela maalum za Jeshi na huenda hata usifike huko maana wanafuatiliana, ni kukuwasha tu na kukutangiliza kuzimu mapema. Hakuna TISS wanaishia mahabusu na jela hovyo. Wale ni watu hatari, tayari wana mafunzo ya kijeshi na mbinu tele! Ni hatari kuendelea kuishi otherwise uende jela ya jeshi maalum au ufe π
Bisha tumuite Mr. Nelson Jacob lushasi akupe elimu zaidi πππ
dogo akitoka atakuta mchumba wake ameanza clinic.... π π πMALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI πππ ππΎ
We bwana unataka tuanze kugombana turudishe bifu letu kama kipindi kile cha FIFA au sio?! πππKuhesabu madhambi ya mwenzako hakukufanyi wewe kua mtakatifu.
Hao una watumia kama ushahidi hakuna chochote wanachojua wachche wanao elewa wanajua mnalishana matango poriSawasawa mkuu... RUDIA WAKUELEWE
"ANAJIFANYA TISS!" TISS HAWANAGA UPUUZI WA HOVYO KAMA ALIVYOKUWA HUYO BAZAZI
HUCHUKUI ROUND KAMA NI TISS UTAISHIA KUBAYA. BINAFSI NIMEKUELEWA VYEMA MKUU Lucha .... njoo soma hapa
EBANA POA! WE UNAJUA ZAIDI... UMESHINDA! UNABISHANA NA WANAJESHI SASA WANAOJUA HAYO MAMBO.Hao una watumia kama ushahidi hakuna chochote wanachojua wachche wanao elewa wanajua mnalishana matango pori
Nani ana uhakika Sabaya alikua na ajira usalama wa Taifa??????Mngepata uhakika ndio mngejadiliana kwa hoja na sio mabishanoUkiwa na makosa ya jinai kama ni TISS member wala huchui round mjomba... kuna jela maalum za Jeshi na huenda hata usifike huko maana wanafuatiliana, ni kukuwasha tu na kukutangiliza kuzimu mapema. Hakuna TISS wanaishia mahabusu na jela hovyo. Wale ni watu hatari, tayari wana mafunzo ya kijeshi na mbinu tele! Ni hatari kuendelea kuishi otherwise uende jela ya jeshi maalum au ufe π
Bisha tumuite Mr. Nelson Jacob lushasi akupe elimu zaidi πππ
Sio kwamba najua sana ila tunaelimishana kama wadau wa jamii forum!!!Ukiwa na makosa ya jinai kama ni TISS member wala huchui round mjomba... kuna jela maalum za Jeshi na huenda hata usifike huko maana wanafuatiliana, ni kukuwasha tu na kukutangiliza kuzimu mapema. Hakuna TISS wanaishia mahabusu na jela hovyo. Wale ni watu hatari, tayari wana mafunzo ya kijeshi na mbinu tele! Ni hatari kuendelea kuishi otherwise uende jela ya jeshi maalum au ufe π
Bisha tumuite Mr. Nelson Jacob lushasi akupe elimu zaidi πππ
Hakuna anaejua kama alikuwa na ajira mkuu! Alikuwa anajifanya TISS na mpaka alipandishwa kizimbani kwa kosa hilo na alifanya unyang'anyi kwa kujifanya TISS na Mahakama ikamuumbua kuwa hakuwa TISS bali alifoji vitambulisho.... what a shame eti kwa mtu anayeitwa na kujiita kiongozi, tena role-model anafanya uchizi wa kiwango kile πNani ana uhakika Sabaya alikua na ajira usalama wa Taifa??????Mngepata uhakika ndio mngejadiliana kwa hoja na sio mabishano
Mimi nasema aliwe tu hakuna jinsi nyingineMbowe ni mtiifu na msikivu siyo kama hilo lifisadi lenu linajifanya TISS hata huko korokoroni lazima akung`utwe bakora
Sasa mnapishana kauli na ndugu yangu Lucha wapi???Hakuna anaejua kama alikuwa na ajira mkuu! Alikuwa anajifanya TISS na mpaka alipandishwa kizimbani kwa kosa hilo na alifanya unyang'anyi kwa kujifanya TISS na Mahakama ikamuumbua kuwa hakuwa TISS bali alifoji. TISS huwa na nidhamu maana ni wanajeshi, na jeshi nukta kuu ya kwanza ni nidhamu na ndomana mwenye kuelewa na kujitambu huwa na nidhamu katu haropoki yeye TISS au kutafuta sifa aonekane yeye TISS, hawa wa michongo ndo huwa hivi na hawafikagi mbali.
Nina marehemu BABA MKUBWA.. siku ya mazishi ndo hata watoto na ndugu zake walijua kwamba yeye ni TISS,majirani, ndugh zake na hata watoto... mimi binafsi nikiwepo nilichoka na kuchoka!
Yupo Mkulungwa anadai kuna tetesi za mpango wa kumuachia siku chache zijazo. Nikiunganisha na hili la 'kuchezea kichapo', naona kama yanatengenezwa mazingira! If you know you know..Hakuna anaejua kama alikuwa na ajira mkuu! Alikuwa anajifanya TISS na mpaka alipandishwa kizimbani kwa kosa hilo na alifanya unyang'anyi kwa kujifanya TISS na Mahakama ikamuumbua kuwa hakuwa TISS bali alifoji. TISS huwa na nidhamu maana ni wanajeshi, na jeshi nukta kuu ya kwanza ni nidhamu na ndomana mwenye kuelewa na kujitambu huwa na nidhamu katu haropoki yeye TISS au kutafuta sifa aonekane yeye TISS, hawa wa michongo ndo huwa hivi na hawafikagi mbali.
Nina marehemu BABA MKUBWA.. siku ya mazishi ndo hata watoto na ndugu zake walijua kwamba yeye ni TISS,majirani, ndugh zake na hata watoto... mimi binafsi nikiwepo nilichoka na kuchoka!
EBANA POA! WE UNAJUA ZAIDI... UMESHINDA! UNABISHANA NA WANAJESHI SASA WANAOJUA HAYO MAMBO.
HAYA WACHA SISI TULE MATANGOPORI WE KULA MATIKITI UWE NA AFYA, TUACHE SISI NA MATANGOPORI TUBAKI HATUNA AKILI πππΎ
Hataki kukubali kwamba "kama angekuwa TISS kweli asingefika huko! Wala asingekuwa na madudu ya namna hiyo. Yaani ni akili tu ya kufikirika.Sasa mnapishana kauli na ndugu yangu Lucha wapi???
We JAMAA ni FALA SANA! Sitakujibu wala kubishana na wewe tena!Commando wa Jwtz anafukuzwa kaz na anaachwa uraiani watakua TISS mzee?, Yani we ukiskia usalam wa taifa unawaona ni watu wa ajabu saana? Hawana maajabu yoyote kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa na kuzipeleka kwenye vyombo vya ulinzi ili taarifa ifanyiwe kazi ndo maana wanapandikizwa katika sehem mbalimbali.
Kazi ya taarifa anayo ifanya TISS hata raia wa kawaida mwenye uadilifu anaifanya hawana mafunzo ya ajabu hadi eti awe tishio kwa taifa hiyo haipo mzee labda awe kwenye nafasi kubwa sana ila hawa ambao wako chin wenye level ya mfano wa sabaya hawana madhara yoyote , siyo tishio lolote kitaifa, wakeup mkuu usilale sana watu wakakufanya mshamba kwa stori za vijiweni
Huna cha maana unachoweza kujibu maana hujui chochote utaishia kuniita mjinga tu ila hujui mjinga ni wewe unaeandika mambo usiyo yajua, kichwani ni mweupe sana kiasi cha kushangaa kusikia commando kafukuzwa kazi, sasa mambo makubwa utayajulia wapi?We JAMAA ni FALA SANA! Sitakujibu wala kubishana na wewe tena!
Uongee na reference... kutokufanya kwako bidii maishani ndo kunakufanya uone kila kitu ni kawaida maishani mwako. Kwa sababu hukufika na uwezo wa kufika huna! Kwa wivu wako wa kuharibikiwa unaona mko sawa. Ndo walewale wanaomponda manara eti kaibiwa dola elfu kumi na saba (17000) wao wanasema ni hela ya kawaida. Hapo hata kodi ya chumba cha 150k kinamshinda.
Nyie ndo walewale mnaowaponda wenye divisheni wani na kusifia wenye divisheni ziro kwamba watakuja kuwa matajiri wawaajiri wenye wani. Mungu akusaidie! Eti Komando wa JWTZ anafukuzwa... Hivi wewe Komando unamjua vizuri?! Eti TISS ni mtu wa kawaida HAHAHA! Kalaghabaho!
WEWE FALA... MAKOMANDO SIO WATU WA MCHEZO! MAZUNGUMZO YAO HUFANYA NA RAIS WEWE UNAWACHUKULIA KAMA WEWE USHASHIBA WALI WALI WAKO WA BUKU MBILI NA MO-ENERGY HAPO PEMBENI UNATUMIA FREE YA WIFI YA STATIONARY BASI UNAPAYUKA TU KAMA UNAKUNYA YAAN πHuna cha maana unachoweza kujibu maana hujui chochote utaishia kuniita mjinga tu ila hujui mjinga ni wewe unaeandika mambo usiyo yajua, kichwani ni mweupe sana kiasi cha kushangaa kusikia commando kafukuzwa kazi, sasa mambo makubwa utayajulia wapi?