Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Huyo ni mfungwa akiwa amefanya fujo anapewa adhabu na kutulizwa na wajela jela kama kawa.
 
Nahisi hii ni mind game kwa watawala, kwanza mmeanza anaachiwa tarehe 15, then kapigwa, hizi taarifa mnazipata wapi?

Mbona zinafuatana sana kumuhusu mtu mmoja?
 
Cha muhimu wasimbake lakini kiboko wamchape kimuingie vizuri.
 
Kwa sasa Sabaya anaishi kwa pesa za ndugu zake maana serikali imemkausha kila kitu.
Hata akiachiwa atakaa muda mfupi na kuzikwa
Mambo ya kifo tumuachie mwenye pumzi yake, unless kuna tukio linaandaliwa unalolifahamu.
 
Atavuna alichopanda ila sio sawa kama waliomshambulia ni askari
 
Kwa sasa Sabaya anaishi kwa pesa za ndugu zake maana serikali imemkausha kila kitu.
Hata akiachiwa atakaa muda mfupi na kuzikwa
Hivi mbona huyu wameamua kumkaanga na kumkausha haswa kuliko yule mwenzake wa Koromije ?
Kosa gani alilifanya kwa Mama yake mpaka ashindwa kumsamehe na kumwachia awe guru?
 
Cha muhimu wasimbake lakini kiboko wamchape kimuingie vizuri.
Acha bwana, hivi kwa nini unataka kumpangia Bwana Nyapara kazi ya kufanya muda wa jioni ukifika...?

Wacha atimize majukumu yake ipasavyo kwa mtu anayekiuka sheria na utaratibu....!!!!
 
we u

we ulikuwa gerezani? Acha kuleta uzushi. Hata hivyo km alikuwa anavunja taratibu za magereza lazima ashughulikiwe
 
Kama kweli basi ndoto ya mama kumfurahisha mbowe kisiasa itakuwa imetimia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…