Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za ndani, yote hayo hawakuyaona wakakufunga kwa kukuonea.
Samia na wenzake wanajichanganya kwa kutuambia Magufuli alishindwa kutengeneza mahusiano na nchi za magahribi n.k lakini kwa kuwa muongo husahau haraka anarudi tena na kuwambia watanzania Magufuli alikopa sana.
Sawali ni je kama Magufuli alishindwa kujenga mahusiano na hao wamagharibi, WB na IMF hayo mapesa mengi alikopeshwa na nani? Au walimkopesha wao? Wazalendo hatupotezi muda we know kuwa wanashindana na Maiti. Maiti ya shujaa wa Taifa letu ina nguvu kuliko wao. Baba etu aliwashinda akiwa hai na bado anawashinda akiwa amelala zake.
Leo sheria za nchi yetu zimekuweka huru. Ni sheria hizohizo zilizokuweka huru leo ndizo kesho tutakazozitumia kuwahukumu wote ambao kwa namna moja ama nyengine walihusika kuudhulumu uhai wa Rais wetu Magufuli. Hii ni lazima ifanyike ni suala la muda tu.
Sabaya wewe ni shujaa broo, uliimba wimbo mmoja na Rais Magufuli ndiyo maana alikuelewa na walipokuja wacheza muvi wakashindwa kukuelewa. Uliipigania ardhi ya Taifa letu kwa kuweka maisha yako rehani ukideal na mitandao hatari iliyoshindikana huko nyuma na trust me siku moja Taifa lako litakurudishia mataji yako yote na kukupa ya ziada kipindi cha mpito kikipita.
Harakati za ukombozi wa Taifa letu toka kwenye mikono ya mafisadi zinaendelea na kazi hii hatuwezi kuifanya bila kuilinda kwa nguvu zote legacy ya shujaa wetu Magufuli.
Hili tunapambana kwa jasho na damu maana hawa madhalimu wakishinda maana yake nguvu yao ni kubwa kuliko Taifa letu na kamwe hatuwezi kukubali Taifa letu kushindwa. Siku zote Taifa letu ni Taifa la ushindi na lazima tushinde hata ikiwa sote tutashuhudia matoni yetu ya mwisho ya damu yakimwagika tukiwa chini ya bendera ya nchi yetu.
Viva Tanzania, Rest in Power JPM.
Karibu uraiani Power Sabaya, njoo tushirikiane tushinikize UCHUNGUZI HURU WA KIFO CHA RAIS WETU MAGUFULI.