Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Sisi tuna kazi maalum ya kulaumu hayo mambo ya tuzo wataanzisha wengine[emoji3]
Hahahahaa kwa kwelii........lakini unajua tuzo za kipindi Cha nyuma za ktma zilipata changamoto kubwa sana kutokana na level ya muziki wetu kipindi kile na technology bado ilikua chini...

But now mtu ukiwa na nafasi ya kuanzisha tuzo zinakua tuzo kwwli coz kwa Sasa muziki wa bongo umekuwa muziki mkubwa sana africa na hivo inakua pia fursa ya kufanya biashara zingine kubwa kubwa
 
Yan mwanzo umeanza vizur mwisho Sasa unakuja kulaum watu kwa sababu ya Msanii wa Remix [emoji1787][emoji1787][emoji1787]diamond kafanya nn kikubwa na uyo rayvanny ku mkompea na Burnaboy
Tunachoangalia ni kumkosea diamond platinumz heshima,Kama kuimba burnaboy aiingii hata robo kwa rayvanny kuanzia sauti

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani haujui kulikuwa na KTMA...!!!??,unajua chanzo Cha kufa ....?yaani unampa alikiba mtumbuizaji Bora Tanzania,afu unamnyima diamond platinumz afu anaenda kuchujua ya Africa nzima[emoji23][emoji23][emoji23], diamond platinumz akaona no utopolo akasema hatakaa ashiriki Tena tuzo zozote za Tanzania,unazania bila diamond platinumz Kuna kinachoendelea zikadoda[emoji23][emoji23][emoji23],zikaja na EATV AWARD wakampa kiba WCB wakaon msituchezee wagoma sizikafa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Bos wako mwenyewe amesha Sema usanii ingekua saut angemsain wema
Sasa ndomana nikakwambia burnaboy anauspecial gani kumzidi rayvanny...?kuanzia kutambulika kimataifa na kadhalika...?unajua kuwa BET ya Kwanza rayvanny kachukua 2017, burnaboy BET ya kwannza kachukua 2019...?Sasa Nani zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
usirudie tena kumuhusisha Burnboy na vitu vya kipuuzi.
 
Huo unaozungumzia ni ushabiki hata angepita weeknd mashibiki wa bieber wangelalamika pia. mwisho wa siku anayestahili ni yule alipata kura nyingi maana kinachoaumua ushindi ni kura.
Daaaaaah ushabiki Tena...!!!???yaani unamaanisha Changes album inaizidi after hours album,au Kuna ngoma yoyote ya bierber huu mwaka inaizidi blinding lights....!!!??? Kuanzia kimauzo,charts,streams kwa huu mwaka the weekend Yuko hatua 100m than JB,kawaulize AMA(American music awards),ndo wanamjua amechowafanyia yaani bierber now hamna kitu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani katika kuendelea kusoma Soma comment zangu baada ya hii ulioiquote.....ungeweka umakini katika comment zingine chini ya hii...nimeiongelea KTMA.....!!!!

Sasa midadi ilikuzidi ukareply haraka bila kupitia mjadala
 
Nadhani katika kuendelea kusoma Soma comment zangu baada ya hii ulioiquote.....ungeweka umakini katika comment zingine chini ya hii...nimeiongelea KTMA.....!!!!

Sasa midadi ilikuzidi ukareply haraka bila kupitia mjadala
Ndio Mana Nika kwambia haiwezekani kuanzishwa tuzo wakati before ilikuepo KTMA na ikafa ,na wanavyofanya Grammy soon inakufa sawa dogo ,wewe ndo umekurupuka na midadi yako usikaze fuvu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu kinazaliwa au kuanzisha basi lazma kiwe na mwisho wake........ninachokiongelea mimi hapa..ni fursa ya kibiashara iliopo kupitia tuzo hapa bongo kwa Sasa kama endapo kutapatikana company kubwa ya kuendesha huo mchongo.....!!!!

Kwenye biashara huwa hatujadili maswala ya kwamba eti hii biashara itakufa tu....kikubwa ni kukamata fursa unayoiona hayo mengine ni unseen future.
 
Ebu kamanda uwe unatumia akili sometime usiweunalalamika kama wa Kina Alikiba usiwe mtu wa mihemko na ushabiki wa kijinga Huu Uzi wako Hakuna atakae sapoti hata mashabiki wa Diamond wenyewe umeandika pumba Sana.
 
Kwa system ya beef na team hapa bongo hiyo ni ngumu Sana kuwin[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…