Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
-
- #61
Tutolee hapa wewe najua nishabiki wa kibamia na kundu boy[emoji23][emoji23][emoji23],unazania Kuna shabiki wa WCB mbugira Kama wewe au amefurahishwa na kitendo cha WCB kukosa nomination hata moja pumbavu[emoji109]Ebu kamanda uwe unatumia akili sometime usiweunalalamika kama wa Kina Alikiba usiwe mtu wa mihemko na ushabiki wa kijinga Huu Uzi wako Hakuna atakae sapoti hata mashabiki wa Diamond wenyewe umeandika pumba Sana.
ohh masikini.Kitu gani msanii anasauti Kama chura ,ndo umlinganishe na rayvanny mwenye Melody na sauti Kama kinanda..?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
yale makofia ya CCM waliyopewa na Mzee Pombe ndiyo tuzo zao wakae watulie.Ccm tuanzishe za kwetu za kimataifa, badala ya kuwapa kofia sasa tuwape tuzo za kueleweka, hakika tunaweza, za mabeberu hatuzitaki tena.
Wakampe kibamia Basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]Mtu kila siku colabo tena za kuurudia wimbo mzima kama ulivyo eg yope
Papa ngwasuma a.k.a waaah
Haijulikan ni msanii wa aina gani ya muziki
Sure I real love you[emoji3059][emoji3059][emoji3059]Apiaaa!!!
Yeah Kama The weekend amevyokosa pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]yale makofia ya CCM waliyopewa na Mzee Pombe ndiyo tuzo zao wakae watulie.
Ntampa na The weekend aache kulilia Grammy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]Tatizo ni hao uliowataja kutokuepo nadhani hilo ndo jambo lako.... Tengeneza zako wape.
umeshaonywa mara kadhaa usimuhusishe The weekend na ugoro.Yeah Kama The weekend amevyokosa pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wakampe kibamia Basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Na mtetea maana na yeye kakosa na amelalamika piaumeshaonywa mara kadhaa usimuhusishe The weekend na ugoro.
Sasa na The weekend nae tusemaje?Hakuna msanii wa Tanzania mwenye hadhi ya zile tuzo
wooi kila mmoja hapa anajua hao kina The Weekend unawatumia tu kufikisha kilio chako dhidi boy wa ndoto zako a.k.a Diamond.Na mtetea maana na yeye kakosa na amelalamika pia
[emoji23][emoji23][emoji23] team kiba mna makasikiko kweli ,yaani ukweli usiseme kuwa The weekend kanyimwa Kama ambavyo diamond amevyofanyiwa figisu afu akapewa burnaboy mwenyw sauti nzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]wooi kila mmoja hapa anajua hao kina The Weekend unawatumia tu kufikisha kilio chako dhidi boy wa ndoto zako a.k.a Diamond.
yale makofia kina Diamond, Alikiba , Harmonize na zuchu waliyopewa na Mzee Pombe ndiyo tuzo zao za mwaka huu wakae watulie waache kukariri na wewe pia tafuta hela acha kupoteza muda wako kupapatikia wanaume.[emoji23][emoji23][emoji23] team kiba mna makasikiko kweli ,yaani ukweli usiseme kuwa The weekend kanyimwa Kama ambavyo diamond amevyofanyiwa figisu afu akapewa burnaboy mwenyw sauti nzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
Kafanye kazi wewe kutwa kwenye mitandao kutoa mapovu ya diamond. Utakufa masikini.[emoji23][emoji23][emoji23] team kiba mna makasikiko kweli ,yaani ukweli usiseme kuwa The weekend kanyimwa Kama ambavyo diamond amevyofanyiwa figisu afu akapewa burnaboy mwenyw sauti nzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
Sasa na The weekend nae tusemaje?
Na The weekend na yeye kapewa kofia...!!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]yale makofia kina Diamond, Alikiba , Harmonize na zuchu waliyopewa na Mzee Pombe ndiyo tuzo zao za mwaka huu wakae watulie waache kukariri na wewe pia tafuta hela acha kupoteza muda wako kupapatikia wanaume.