mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
ni neno limelainishwa kuwafanya watu watoe kwa kuogopa adhabu ya Mungu.Hata hiyo ya kanisani itaenda kutumiwa hivyo nayo ni matumizi.
Sadaka ni neno tu lakini lengo ni moja kufanya matumizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni neno limelainishwa kuwafanya watu watoe kwa kuogopa adhabu ya Mungu.Hata hiyo ya kanisani itaenda kutumiwa hivyo nayo ni matumizi.
Sadaka ni neno tu lakini lengo ni moja kufanya matumizi.
Ndiyo hicho sasa, na analaumiwa mpaka kesho kwanini kijana asomeshi watoto wake wa mchepuko shule za private wakati yeye mali zake kala na michepuko zimeisha sasa anataka watoto wasome shule nzuri!Duh huo mtihani
Fanya vitu kwa kiasiKama una laki moja yako usiipeleke msikitini/kanisani kwanza fikiria mama yako hana shida binafsi ambazo anaweza kutatua kwa pesa hiyo?
Baba je?
Ndugu wengine wa karibu?
Kuna watu wazazi wao wanahangaika kutafuta ugali wa siku mtu ile package ya kula wiki hana lakini mtu huyu anachukua pesa anapeleka kwenye nyumba ya ibada.
Mungu anakuona aisee, hautaadhibiwa na Mungu kwa nini pesa yako ulimpa mzazi akatatue shida zake wakati nyumba ya ibada haijapigwa rangi n.k
Lakini Mungu anaweza kukutia adabu kwa nini mzazi wako alilala njaa wakati wewe ulipeleka pesa kwingine.
Lengo la sadaka ni kuwasaidia wasiojiweza, sasa kama mzazi wako naye hajiwezi msapoti.
Kuna kitabu nilikichungulia kinasema toa walau 10% ya kipato chako ukatoe sadaka.
Niliamua tu sadaka yangu hiyo 10% nawapa wazazi. Sina maana ya kukosoa sadaka lakini nakumbusha tu wazee wetu wana dhiki nyingi, tusijifanye wema sana kwenye nyumba za ibada wakati wazee wetu hilo salio lingewasaidia.
Wema, sadaka huanzia nyumbani kwa watu wako wa karibu.
NB ; Kama wazazi wako wanajiweza hii mada haikugusi
SADAKA ni jina la utapeli wa kiimani lakini kifupi hiyo yote ni michango tu ya kuwachangia wachungaji na maaskofu ili kujiimarisha kiuchumu wao na kuimarisha taasisi zao fullstopHata hiyo ya kanisani itaenda kutumiwa hivyo nayo ni matumizi.
Sadaka ni neno tu lakini lengo ni moja kufanya matumizi.
Na waliosema waliishasema kwamba 'Hisani ianzie Nyumbani'!Kama una laki moja yako usiipeleke msikitini/kanisani kwanza fikiria mama yako hana shida binafsi ambazo anaweza kutatua kwa pesa hiyo?
Baba je?
Ndugu wengine wa karibu?
Kuna watu wazazi wao wanahangaika kutafuta ugali wa siku mtu ile package ya kula wiki hana lakini mtu huyu anachukua pesa anapeleka kwenye nyumba ya ibada.
Mungu anakuona aisee, hautaadhibiwa na Mungu kwa nini pesa yako ulimpa mzazi akatatue shida zake wakati nyumba ya ibada haijapigwa rangi n.k
Lakini Mungu anaweza kukutia adabu kwa nini mzazi wako alilala njaa wakati wewe ulipeleka pesa kwingine.
Lengo la sadaka ni kuwasaidia wasiojiweza, sasa kama mzazi wako naye hajiwezi msapoti.
Kuna kitabu nilikichungulia kinasema toa walau 10% ya kipato chako ukatoe sadaka.
Niliamua tu sadaka yangu hiyo 10% nawapa wazazi. Sina maana ya kukosoa sadaka lakini nakumbusha tu wazee wetu wana dhiki nyingi, tusijifanye wema sana kwenye nyumba za ibada wakati wazee wetu hilo salio lingewasaidia.
Wema, sadaka huanzia nyumbani kwa watu wako wa karibu.
NB ; Kama wazazi wako wanajiweza hii mada haikugusi
Sio mbaya pia.Fanya vitu kwa kiasi
Unaweza kutoa sadaka kote kote
Unaweza kutoa sadaka kiasi kwa mzazi au wazazi wako na kwa kanisa pia Ila kwa kiasi kadiri ulivyobarikiwa
Matumizi unaacha kwa mkeo ,kule kwa wazazi ni sadaka ndio mana tunaoata baraka,ila matumizi kwa mkeo ni wajibuNyumbani kwa wazazi hupeleki Sadaka. Unapeleka Matumizi.
Sadaka ipelekwe Kanisani.
Pia saidia Maskini na wajane.
Fedha unayoipeleka Nyumbani/ kwa wazazi si alternative ya Sadaka.
AminaAamen mkuu.
Mungu atimize azma yako
Kama unao uwezo sio mbaya.Fanya vitu kwa kiasi
Unaweza kutoa sadaka kote kote
Unaweza kutoa sadaka kiasi kwa mzazi au wazazi wako na kwa kanisa pia Ila kwa kiasi kadiri ulivyobarikiwa
Kama una laki moja yako usiipeleke msikitini/kanisani kwanza fikiria mama yako hana shida binafsi ambazo anaweza kutatua kwa pesa hiyo?
Baba je?
Ndugu wengine wa karibu?
Kuna watu wazazi wao wanahangaika kutafuta ugali wa siku mtu ile package ya kula wiki hana lakini mtu huyu anachukua pesa anapeleka kwenye nyumba ya ibada.
Mungu anakuona aisee, hautaadhibiwa na Mungu kwa nini pesa yako ulimpa mzazi akatatue shida zake wakati nyumba ya ibada haijapigwa rangi n.k
Lakini Mungu anaweza kukutia adabu kwa nini mzazi wako alilala njaa wakati wewe ulipeleka pesa kwingine.
Lengo la sadaka ni kuwasaidia wasiojiweza, sasa kama mzazi wako naye hajiwezi msapoti.
Kuna kitabu nilikichungulia kinasema toa walau 10% ya kipato chako ukatoe sadaka.
Niliamua tu sadaka yangu hiyo 10% nawapa wazazi. Sina maana ya kukosoa sadaka lakini nakumbusha tu wazee wetu wana dhiki nyingi, tusijifanye wema sana kwenye nyumba za ibada wakati wazee wetu hilo salio lingewasaidia.
Wema, sadaka huanzia nyumbani kwa watu wako wa karibu.
NB ; Kama wazazi wako wanajiweza hii mada haikugusi
Na kile kifungu kisemacho watumishi wa Mungu wanakula kupitia madhabauni? Ili hali pesa za chakula na kodi ya kulipa nyumba tunawatolea hiyo imekaaje?Sadaka ni sehemu ya ibada