Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

Inanikumbusha filamu ya kinaigeria Kuna muhubiri Fulani alikuwa hivyoo anahama mikoa na mikoa anafilisi watu hadi Kuna siku akauwawa nyumbani kwake kosa ni kuchukua Mali za watu maelfu ya waislamu kosa mafuta ya upako wamebadilisha dini
Uislamu ni dini ya waarabu ndio mana mafundisho yao yamejaa chuki..husuda..unafiki na mauaji.

Njoo ukanyage mafuta na kula keki ya upako upate ukombozi kamili huku ukitoa sadaka ya kujimaliza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Leo nilipanda gari kariakoo naelekea mikocheni Kuna pisi Moja ni Kali nilikaa nayo.Halafu anaonekana ni muelewa Kwa maana sio mshamba hata chembe.Basi akaniuliza kaka hii gari inafika Kwa mwamposa nkamjibu ndo inapoishia akafurahi,Basi nilimuonea huruma nikakosa Cha kumshauri.
 
Na wife lazima abki Kwa mwamposa ajimalize vizuri
 
Umemaliza.
Siku ukianza kuwaamini mitume feki jua umejimaliza.
Mtu asiyekemea dhambi wala kufundisha wokovu...huyo ni mtumishi fake.
Lazima mtumishi wa Mungu ahubiri kumpenda Mungu na kuacha dhambi
Wao wanasema wapo tofauti na madhehebu ya Katoliki, Lutheran, wao wana wapa Elimu ya kiuchumi na ndoa na tiba, tofauti na wakatoliki

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani wewe ndio wa kuonea huruma..hujui watu wanapata uponyaji kwa MWAMPOSA.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sijui km wamerogwa nna sista yangu nae hvyo hvyooo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aseeehhh
 
Akaendelea kuwa na huyo mwanamke?
 
wanaojimaliza wameshapata baraka kama watarajiavyo au wanamnufaisha mwampopoooo
 
Ila Mwamposa,anajua kuwapukutisha wakulungwa pesa zao,
Ukikutana na waumini wake wametoka ibadani,jumapili,sura zimechoka,wanatembea mpaka bondeni Ili kupata gari za bunju,wengine mpaka Morocco Ili wapate gari za mbagala,
Kwa ufupi waumini wake ni watu waliopotea,wanaamini matatizo yao ufumbuzi ni kusali na kutoa sadaka!
Kuna wengine wametoka mikoani,wanalala chini ya miti,sasa Unajiuliza kwa nini kanisa haliwapi hata nafasi ya kulala kanisani?wanalala nje,sasa sijuhi wanakula wapi,kunya wapi,kuoga wapi?anachofanya Mwamposa ni crime against humanity,
Nchi hii Kuna wahindi,wachina,wazungu,lakini hakuna anayeenda kulala chini ya miti Ili aombewe na Mwamposa!
 
waumini wanaoenda kwa mwamposa kwakweli acha wakung'utishwe. ule ni wizi wa mchana kweupe na wanaokwenda kule ni mazuzuz pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…