Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Tatizo la uko bhana swala ni nyingi /day alaf unatishwatishwa sana ata raha ya dunia hauioni tena
Hahahah raha ipo asee kutishiwa lugha tu ila moyo wako ukitaka tu uwe mtu wa haki hayo mengine hayasumbui
 
Mkuu hujui sadaka zinaenda wapi kweli?
Hujamwona bilionea shillo
 
Unaongea kama tunashindana flani oky!! umeshinda
 
Kuna nabii mmoja jijini Daresalama ukitaka kuonana nae ni laki tatu,, tutafika peponi hoi hoi
Endeleeni kupigwa huku mkijiona mna muna masikio lkn hayasikii muna macho lkn hayaoni
 
Wale Morocco ni maskini misri ni maskini sudan kwa sababu ya vita vyao libya nao kwa sababu ya vita vyao Algeria hao ni maskini hv we kweli umemaliza hata darasa la saba kweli
Sudan pamoja na kupigana au machafuko pesa yao ipo juu kuliko ya Tanzania nimetoka miezi miwili ilopita
 
Wanalingana nusu kwa nusu coz kaskazn ni waislam na kusin ni wakristo kama hujui hilo ingawa data nyingine zinadai wakristo ni wengi hata baadhi ya wanigeria wenyewe wanadai hivyo
Nigeria na afrika magharibi waislam no zaid ya 75%,
 
Tatizo la uko bhana swala ni nyingi /day alaf unatishwatishwa sana ata raha ya dunia hauioni tena
Hamana kutiashwa,we ukihamia Soma dini uijue,yaani kwenye Qur'an Moto umeongelewa Mara chache sana
 
Tatizo la uko bhana swala ni nyingi /day alaf unatishwatishwa sana ata raha ya dunia hauioni tena
Uislamu unajengwa na Imani kwanza halafu mambo mengine yanafuatia ukishausoma Uislamu imani imekaa sehemu yake mbona utafurahi sana
 
Vita ni vita muraaa hapa ni vita kati ya wala sadaka na watoa sadaka,na usipo toa sadaka ikatimia kanisa linakutenga
KKKT chuo cha SEKOMU kilifirisika askofu alipiga hela,wafanyakazi walikuwa wanadai mishahara yao kilichofanyika waumini walichanga ile hela,walokula hela wakaendelea kupeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…