Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?

😆😆.mara Namtumbo mara mwalimu..Ewe uliyechakazwa huko chuoni acha fikra potofu.kama ww ulikuwa unachakazwa,sawa

Usi-generalize tabia zako ukadhani na wenzako wako hivyo.
 
5. Masanja Mkandamizaji maarufu na an pesa lkn mkewe alogongwa na kizalswa na mfanyakazi wa Masanja mwenyewe.
6. Dr. Mwaka ni maarufu na ana pesa lkn mkewe aliliwa na shekhe asiye na kitu zaidi ya kanzu anayovaa.
7. Mbasha na umaarufu wake wote mkewe Flora Mbasha alitafunwa na Gwajima .

N.k . Mwingine aendeleze orodha hii
 
Kiungopunda

#YNWA
 
TANESCO umeme umekatika huku 😬 msifanye hivyo basi
 
Mwanamke ni mwanamke tu hana guarantee.
 
Kina Manara (Mafuska) tuko wengi mno hapa duniani, tunasubiri tu kina Zaylisa waolewe ama kuchumbiwa kisha tunatupa nanga na kufumua malinda kisha tunawaachia kina Manara wasiojitambua akili (Manara original) na kuoa.
 
Wake za watu vyuoni wanabanduliwa sana sana yaani.
Mimi kuna mmoja alikua anasoma na mumewe alikua anamtembelea Pete 2 alizozivaa ya uchumba na ya ndoa zile ndio zilikua zinanizuia nisimvue chupi nimpige miti bila hivyo ningekua nammega
 
Nilikuwa nakuamini kumbe wewe hovyo kabisa, huwezi heshimu maisha yako kisa tamaa.
 
Mabeste katombewah, stamina katombewah.
 
Tatizo chuo kuna Uhuru flani hivi, Yani ukitaka kutulia utulivu unakuja.....unakataaa.

Imagine upo na bae wako jioni kwenye zile gardens, upepo mwana.....hamzungumzii bills wala malezi ya watoto, mnazungumzia mapenzi tu ( the feeling ni Kama mpo Eden)🤣🤣🤣, hamna kupika....mnakula mgahawani.....every evening is a date night🤣🤣🤣

Akili inakuja kurudi Sawa ushamaliza chuo ndo unakumbuka Una mke/mume....hapo GPA inaning'inia Kwa kuendekeza mapenzi.
 
Sasa hao ni wanawake? Hao ni maarufu na wana pesa kuliko Mane?
1. Hao sio wanawake ni wakina nani?
Kwamba mke wa Masanja, Nick wa 2, na hao wengine sio wanawake?

2. Kuhusu umaarufu,.
wanawake ni wanawake.
Hebu soma hiii uone wanawake wa wachezaji wanavyogongwa.
Tena waume zao ni wachezaji maarufu kuliko Mane.
Unaikumbuka skendo ya John Terry? Soma humo 👇👇


#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…