Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?

Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?

1. Hao sio wanawake ni wakina nani?
Kwamba mke wa Masanja, Nick wa 2, na hao wengine sio wanawake?

2. Kuhusu umaarufu,.
wanawake ni wanawake.
Hebu soma hiii uone wanawake wa wachezaji wanavyogongwa.
Tena waume zao ni wachezaji maarufu kuliko Mane.
Unaikumbuka skendo ya John Terry? Soma humo 👇👇

1. Hao sio wanawake ni wakina nani?
Kwamba mke wa Masanja, Nick wa 2, na hao wengine sio wanawake?

2. Kuhusu umaarufu,.
wanawake ni wanawake.
Hebu soma hiii uone wanawake wa wachezaji wanavyogongwa.
Tena waume zao ni wachezaji maarufu kuliko Mane.
Unaikumbuka skendo ya John Terry? Soma humo 👇👇


#YNWA
Kua na pesa au kua maarufu hakuzuii mwanamke wako kugongwa hata kidogo, uyo jamaa hajui kitu.
 
Kua na pesa au kua maarufu hakuzuii mwanamke wako kugongwa hata kidogo, uyo jamaa hajui kitu.
Wafuatao ni watu maarufu na wenye pesa lkn walichapiwa.
1. Nick wa 2 ni maarufu na anapesa na amwanamke mwenye CPA (msomi)
2. Haji manara.
3. Diamond ni maarufu na pesa kibao ila alichapiwa
4. Watu maarufu kibao ulaya walivunja ndoa na mahusiano sababu ya walichapiwa.
5. Masanja Mkandamizaji alichapiwa mpk mkewe akazalishwa.
6. Dr. Mwaka alichapiwa na shekhe kanzu tu.
7. Stamina alichapiwa mpk akatunga wimbo.
N.k
 
Wahuni sio watu ajiandae kisaikolojia tu mwanamke hawezi mkatalia mwanaume aliyeushiba moyo wake.
Atawakwepa wanachuo lecture hawezi mkwepa.
 
Amruhusu TU ila ajiandae kisaikolojia chochote huweza tokea ili asiathiri kiwango chake Cha mpira
 
Ndoa inaweza ikawa ni kaburi la mafaniko Yako,pia kama shetani alimdanganya Eva atashindwa vipi kwa mkeo
 
Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia.

Eti kamruuhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini.

.
Vyuoni kuna wakware waliopinda wakapinduluka. Atapigwa tukio huyu Mane mpaka aachane na soka kabisa.

Yule mkewe siyo malaika na wala hana moyo wenye wema kuwazidi Delila na Eva .
😂😂😂😂Hili nalo litapota
 
Kila mwanamke mnafananisha na hizo takataka zenu za Daslam zinazotembea bila kuvaa nguo za ndani. Zimevaa vijora ambavyo wanavipandisha kwa sababu ya uzinzi na umaskini. Hivi kuna mwanamke anayeweza msaliti mane kwa visharobaro vichonga nyusi na vilamba mdomo kwa mkwanja na umaarufu alionao? Huyo binti jamaa alikuwa anamsomesha huko huko chuo na mara baada ya kufunga ndoa akamruhusu aendelee na masomo.

Huyo sio sawa na hao wanuka midomo na wenye harufu ya visamaki wa huko daslama.
Jidanganye, siku zote Jasiri huwa haachi asili.
 
Back
Top Bottom