Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?


Kua na pesa au kua maarufu hakuzuii mwanamke wako kugongwa hata kidogo, uyo jamaa hajui kitu.
 
Kua na pesa au kua maarufu hakuzuii mwanamke wako kugongwa hata kidogo, uyo jamaa hajui kitu.
Wafuatao ni watu maarufu na wenye pesa lkn walichapiwa.
1. Nick wa 2 ni maarufu na anapesa na amwanamke mwenye CPA (msomi)
2. Haji manara.
3. Diamond ni maarufu na pesa kibao ila alichapiwa
4. Watu maarufu kibao ulaya walivunja ndoa na mahusiano sababu ya walichapiwa.
5. Masanja Mkandamizaji alichapiwa mpk mkewe akazalishwa.
6. Dr. Mwaka alichapiwa na shekhe kanzu tu.
7. Stamina alichapiwa mpk akatunga wimbo.
N.k
 
Wahuni sio watu ajiandae kisaikolojia tu mwanamke hawezi mkatalia mwanaume aliyeushiba moyo wake.
Atawakwepa wanachuo lecture hawezi mkwepa.
 
Amruhusu TU ila ajiandae kisaikolojia chochote huweza tokea ili asiathiri kiwango chake Cha mpira
 
Ndoa inaweza ikawa ni kaburi la mafaniko Yako,pia kama shetani alimdanganya Eva atashindwa vipi kwa mkeo
 
😂😂😂😂Hili nalo litapota
 
Jidanganye, siku zote Jasiri huwa haachi asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…