bila kujali ameshtakiwa na jamhuri au mtu binafsi, kitendo tu cha huyu jamaa kufunguliwa mashtaka na kupandishwa kizimbani, ni ushindi mkubwa kwa Mama Tanzania.Mi hapo kwenye mawakili wa kujitegemea ndio sijaelewa wandugu
Ina maana sio serikali kupitia waendesha mashtaka wa serikali waliomshtaki bali ni mawakili tu binafsi?
Hapana!!yeye atakuwa kama shahidi wa jamhuri tu!!hata wewe ukiibiwa mali yako ukaenda mahakamani, kule utahesabika kama shahidi wa jamhuri tu, ila mlalamikaji ni jamhuri kwani huyo mwizi wako, ametenda kosa linalokatazwa na sheria za jamhuri.Na Kubenea yupo upande upi hapa au yeye ndo Jamhuri? Samahan kwa usumbufu mkuu maana mi sielewi.
Le mutuz mobimba na wasanii wake wakiongozwa na Mwenyekiti wao wako bize wanashinda viwanja vya leaders club Kuandaa mazingira ya upigaji na bhakshishi ya sherehe za uhuru kwa ivo hawana muda wasisumbuliwe hadi baada ya tarehe 9 December.HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.
View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Ukikutana nae unaeza jua ni mdogo wake na Le mutuz. Apatiwe polezzz you know people zushed kuwa aliplastic surgery u nou Le mbebeeez tuzzzzle mutuz is super Humbled you know !!! na sasa amekondaz Man coz alilazwa Hospitali Man !!! but wabebez walitililika maelfu na maelfu kwenda kumuona you know!!
Cocochanell kapotea sana sikuizi alikua ni for DAB flag.Duh,hii kali sana
Na kwa 7baya mlianzaga ivo ivo hadi ikatoboka dogo akanyeshewa mvua 30 na kesi zingine zikiendelea. Aisee uchukue hatua liamini kabisa gazet hilo ndio huwa 100% Habari zake front pagesSijui kwanini hili gazeti uwa siliamini amini
7baya mlimdanganyaga hivi hivi hadi akatwaliwa nyie watu sio wazuriHakuna kesi hapo
Kwani Msoga ndio inaongoza nchi ?Amekwishatuma watu kadhaa anaowaamini, kuomba huo upatanisho. Mzee wa watu kawaambia kuwa alisamehe tangu wakati huo huo ambapo Makonda alikuwa akimnanga. Hivyo haoni na wala hakuna haja ya kuombwa msamaha. Wote jibu wanalopewa ni moja. Lakini amekuwa anayafanya yote hayo ili ikiwezekana arudishwe serikalini, hata kwa nafasi ya uDC.
Sasa naona badala ya kuoewa cheo huku uraiani, huenda akapata cheo cha unyapara gerezani.
Nunua gazeti mkuu. 7baya naye mlianzaga hivi hivi wakati amenyeshewa mvua on the same gigsMatumizi mabaya ya ofisi ingredients Ni zipi?
1.
Wabongo basi unafikir huwa tuna muda wa kushughulisha ubongo. Tupo tupo tuMnasahau hili gazeti lilianzaga hivihivi kuhusu Sabaya...mshasahau.
Mfyete kwa 7baya ulikua wapi kupata hoja kama hizi? Mchuma janga hula na wa kwao, na ukija utawala mwingine utakuja na yao.Hizi kesi mbona sijazielewaaa. Sasa wanampeleka mahakamani kwa kosa lipiii?? Au inaaamaa kila aliyefanya makaosa ya kiutendaji naye apelekwe mahakamaniii? Nani mkamilifu kiutendajii?? Tutakamata wangapiii
Hamna kituuu.Mfyete kwa 7baya ulikua wapi kupata hoja kama hizi? Mchuma janga hula na wa kwao, na ukija utawala mwingine utakuja na yao.
Ndio maana rais, makamu wa rais, spika naibu wake na sijui mwanasheria mkuu wa serikal plus wazir mkuu walijiwekea kabisa kinga mapema mapema na wabunge wakapitisha na makofi mengiiiii bila kuhoji.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Said Kubenea ndo amefungua hiyo kesiClouds wamesema wenyewe hawausiki na hiyo kesi , sasa nani atakuwa mlalamikaji?
Mfyete kwa 7baya ulikua wapi kupata hoja kama hizi? Mchuma janga hula na wa kwao, na ukija utawala mwingine utakuja na yao.
Ndio maana rais, makamu wa rais, spika naibu wake na sijui mwanasheria mkuu wa serikal plus wazir mkuu walijiwekea kabisa kinga mapema mapema na wabunge wakapitisha na makofi mengiiiii bila kuhoji.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app