Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Mi hapo kwenye mawakili wa kujitegemea ndio sijaelewa wandugu

Ina maana sio serikali kupitia waendesha mashtaka wa serikali waliomshtaki bali ni mawakili tu binafsi?
bila kujali ameshtakiwa na jamhuri au mtu binafsi, kitendo tu cha huyu jamaa kufunguliwa mashtaka na kupandishwa kizimbani, ni ushindi mkubwa kwa Mama Tanzania.

nasubiri kwa hamu kubwa kumuona akipishana na camera za waandishi wa habari kwenye viunga vya mahakama.
 
Na Kubenea yupo upande upi hapa au yeye ndo Jamhuri? Samahan kwa usumbufu mkuu maana mi sielewi.
Hapana!!yeye atakuwa kama shahidi wa jamhuri tu!!hata wewe ukiibiwa mali yako ukaenda mahakamani, kule utahesabika kama shahidi wa jamhuri tu, ila mlalamikaji ni jamhuri kwani huyo mwizi wako, ametenda kosa linalokatazwa na sheria za jamhuri.
 
angekua anashtakiwa na Jamahuri kama Sabaya hapo inge make sense ila hao mawakili njaa hawana lolote wanataka watusahaurishe mgao wa umeme na maji tu sio kingine kenge hao ...
 
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.

View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Le mutuz mobimba na wasanii wake wakiongozwa na Mwenyekiti wao wako bize wanashinda viwanja vya leaders club Kuandaa mazingira ya upigaji na bhakshishi ya sherehe za uhuru kwa ivo hawana muda wasisumbuliwe hadi baada ya tarehe 9 December.

AJWAAAA....Kuhusu Makonda na wasanii Chidi Benz the genius alishaga malizaga kumpa ushauri kwa ivo asisumbuke nao。

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
le mutuz is super Humbled you know !!! na sasa amekondaz Man coz alilazwa Hospitali Man !!! but wabebez walitililika maelfu na maelfu kwenda kumuona you know!!
Ukikutana nae unaeza jua ni mdogo wake na Le mutuz. Apatiwe polezzz you know people zushed kuwa aliplastic surgery u nou Le mbebeeez tuzzzz

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Amekwishatuma watu kadhaa anaowaamini, kuomba huo upatanisho. Mzee wa watu kawaambia kuwa alisamehe tangu wakati huo huo ambapo Makonda alikuwa akimnanga. Hivyo haoni na wala hakuna haja ya kuombwa msamaha. Wote jibu wanalopewa ni moja. Lakini amekuwa anayafanya yote hayo ili ikiwezekana arudishwe serikalini, hata kwa nafasi ya uDC.

Sasa naona badala ya kuoewa cheo huku uraiani, huenda akapata cheo cha unyapara gerezani.
Kwani Msoga ndio inaongoza nchi ?
 
Hizi kesi mbona sijazielewaaa. Sasa wanampeleka mahakamani kwa kosa lipiii?? Au inaaamaa kila aliyefanya makaosa ya kiutendaji naye apelekwe mahakamaniii? Nani mkamilifu kiutendajii?? Tutakamata wangapiii
Mfyete kwa 7baya ulikua wapi kupata hoja kama hizi? Mchuma janga hula na wa kwao, na ukija utawala mwingine utakuja na yao.

Ndio maana rais, makamu wa rais, spika naibu wake na sijui mwanasheria mkuu wa serikal plus wazir mkuu walijiwekea kabisa kinga mapema mapema na wabunge wakapitisha na makofi mengiiiii bila kuhoji.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mfyete kwa 7baya ulikua wapi kupata hoja kama hizi? Mchuma janga hula na wa kwao, na ukija utawala mwingine utakuja na yao.

Ndio maana rais, makamu wa rais, spika naibu wake na sijui mwanasheria mkuu wa serikal plus wazir mkuu walijiwekea kabisa kinga mapema mapema na wabunge wakapitisha na makofi mengiiiii bila kuhoji.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hamna kituuu.
 
..na hao wakubwa wana kinga hawashtakiwi kwa madhambi yao hapa duniani.

..wakikaribia kufa Mufti na Kardinali wanaitwa kuwaombea ili wasichukuliwe hatua hata baada ya mauti.
 
Makonda hafungwi..

Hapo ni anasafishwa tu.. chifu hangaya na makonda ni zaidi ya Pete na kidole...
 
Huu mtindo wakuwalima cortin waheshimiwa umeanza lini na mbona unakuja kasi
 
Back
Top Bottom