smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
bila kujali ameshtakiwa na jamhuri au mtu binafsi, kitendo tu cha huyu jamaa kufunguliwa mashtaka na kupandishwa kizimbani, ni ushindi mkubwa kwa Mama Tanzania.Mi hapo kwenye mawakili wa kujitegemea ndio sijaelewa wandugu
Ina maana sio serikali kupitia waendesha mashtaka wa serikali waliomshtaki bali ni mawakili tu binafsi?
nasubiri kwa hamu kubwa kumuona akipishana na camera za waandishi wa habari kwenye viunga vya mahakama.