Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
 
Yaani waungane au watengane wala haina shida. Kikubwa ameshitakiwa na aleface alichostahili.
 
Kwakweli ndio maana Polepole anasikitika kuwa JPM amekwenda haraka kabla hajakamilisha mission yake ya kuwamaliza wahuni
[emoji848][emoji848]
 
Kwahiyo tukusaidieje wewe sukuma gang?
 
Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
Yule aliyevamiwa naye ni kilaza tu anajitahidi kuwa upande wa watawala kisa kuficha maovu yao
 
Kwanini usijiulize ilikuwaje akina twaha mwaipaya wakaachiwa usiku na mahakama ilipitishaje cha mahabusu kuwa ubunge haya mambo uanawezekana Tz tu hakuna cha kuwafanya
 
Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
Kama alifanya jinai Jamhuri ndio inatakiwa kumshitaki. Waliotendewa ni mashahidi.
 
Waliomtuma wana kila nyenzo ya kumlinda, kubwa zaidi majaji ni wa kwao, na hao watakaotakiwa kutoa ushahidi wanaweza wakaogopa kufunguka ipasavyo kwa kuhofia "usalama" wao na vitega uchumi vyao.
 
Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7

Hiyo ni tar 27/11/2021. Pia application haiwezi kuwa na court seal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…