Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
 
Yaani waungane au watengane wala haina shida. Kikubwa ameshitakiwa na aleface alichostahili.
 
Mm nahisi Hawa watu wenye mlengwa kama wakina Kubenea ni watu hatari sana kwa mstakabali wa Nchi,maana Leo watasema ashtakiwe huyu kesho yule mwisho wa siku Kila mtu atakuwa mshitakiwa Kwa chuki zisizokuwa na maana.Najua Makonda alipambana sana Madawa ya kulevi kwa mstakabali wa vijana wetu ambao walijiingiza kwenye biashara hiyo hatari
Kwakweli ndio maana Polepole anasikitika kuwa JPM amekwenda haraka kabla hajakamilisha mission yake ya kuwamaliza wahuni
[emoji848][emoji848]
 
Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777
Kwahiyo tukusaidieje wewe sukuma gang?
 
Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
Yule aliyevamiwa naye ni kilaza tu anajitahidi kuwa upande wa watawala kisa kuficha maovu yao
 
Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777
Kwanini usijiulize ilikuwaje akina twaha mwaipaya wakaachiwa usiku na mahakama ilipitishaje cha mahabusu kuwa ubunge haya mambo uanawezekana Tz tu hakuna cha kuwafanya
 
Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
Kama alifanya jinai Jamhuri ndio inatakiwa kumshitaki. Waliotendewa ni mashahidi.
 
Waliomtuma wana kila nyenzo ya kumlinda, kubwa zaidi majaji ni wa kwao, na hao watakaotakiwa kutoa ushahidi wanaweza wakaogopa kufunguka ipasavyo kwa kuhofia "usalama" wao na vitega uchumi vyao.
 
Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7
Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777

Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa Jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi Jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa Jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777
Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7
 
Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7

Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7
Hiyo ni tar 27/11/2021. Pia application haiwezi kuwa na court seal.
 
Kama alifanya jinai Jamhuri ndio inatakiwa kumshitaki. Waliotendewa ni mashahidi.
Unajua nini wewe? Subiri uone moto unavyo muwakia Makonda wako
FB_IMG_1491149802607.jpg
 
Back
Top Bottom