Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani waungane au watengane wala haina shida. Kikubwa ameshitakiwa na aleface alichostahili.Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
Wewe umsukule umekufanya umekuwa na akili za uharo wa bata kama wa baba yakoUshabiki unakufanya uwe na akili za kuku
Ingia barabarani basi uandamane mbwiga weweWATANGANYIKA KWA KUTETEA MAMBO YA KIPAMBAFU HAMJABO!NANI HAJUI MATENDO MAOVU YA MAKONDA?
Kwakweli ndio maana Polepole anasikitika kuwa JPM amekwenda haraka kabla hajakamilisha mission yake ya kuwamaliza wahuniMm nahisi Hawa watu wenye mlengwa kama wakina Kubenea ni watu hatari sana kwa mstakabali wa Nchi,maana Leo watasema ashtakiwe huyu kesho yule mwisho wa siku Kila mtu atakuwa mshitakiwa Kwa chuki zisizokuwa na maana.Najua Makonda alipambana sana Madawa ya kulevi kwa mstakabali wa vijana wetu ambao walijiingiza kwenye biashara hiyo hatari
Kwahiyo tukusaidieje wewe sukuma gang?Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777
Yule aliyevamiwa naye ni kilaza tu anajitahidi kuwa upande wa watawala kisa kuficha maovu yaoWhatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
Kwanini usijiulize ilikuwaje akina twaha mwaipaya wakaachiwa usiku na mahakama ilipitishaje cha mahabusu kuwa ubunge haya mambo uanawezekana Tz tu hakuna cha kuwafanyaUkizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777
Kama alifanya jinai Jamhuri ndio inatakiwa kumshitaki. Waliotendewa ni mashahidi.Whatever the matter, hii kesi sioni kama itakuwa na intended outcome, ikiwa hao washtakiwa wakiungana na majaji wao, na yule jamaa alievamiwa amegoma kuhusishwa, sioni kama patakuwepo na lolote la maana.
Scenario mbili tofautiKwanini usijiulize ilikuwaje akina twaha mwaipaya wakaachiwa usiku na mahakama ilipitishaje cha mahabusu kuwa ubunge haya mambo uanawezekana Tz tu hakuna cha kuwafanya
Ssa jamuhuri wenyewe wamekaaa kimya ngoja tuone mchezo wa kubeneaKama alifanya jinai Jamhuri ndio inatakiwa kumshitaki. Waliotendewa ni mashahidi.
Waliomtuma wana kila nyenzo ya kumlinda, kubwa zaidi majaji ni wa kwao, na hao watakaotakiwa kutoa ushahidi wanaweza wakaogopa kufunguka ipasavyo kwa kuhofia "usalama" wao na vitega uchumi vyao.Kama alifanya jinai Jamhuri ndio inatakiwa kumshitaki. Waliotendewa ni mashahidi.
Mpumbavu ni mbumbavu tuKwahiyo tukusaidieje wewe sukuma gang?
Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777
Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa Jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi Jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa Jumamosi tar 27 mahakamani?
View attachment 2025777
Hiyo ni tar 27/11/2021. Pia application haiwezi kuwa na court seal.Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7
Ni tarehe 21/11/2021, inaonekana kama 27 kwasababu sahihi ya mpokeaji imeweka mchirizi unaofanya 1 ionekane kama 7
Unajua nini wewe? Subiri uone moto unavyo muwakia Makonda wakoKama alifanya jinai Jamhuri ndio inatakiwa kumshitaki. Waliotendewa ni mashahidi.