macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Du kama ndivyo hivyo basi hakuna kipya. Au inaweza kuwa kuna mambo mawili: 1. Kubenea anatumika kuzima kelele za wananchi za kutaka Makonda afikishwe mahakamani. 2. Kubenea anatumika na timu Msoga ku-frustrate Makonda na kumpa mateso ya kisaikolojia.Kesi kaanzisha Kubenea mzee wa shanga. Respondents ni Makonda,DCI na DPP.
Hamna kesi hapo,na mlalamikaji asipoangalia ataingia hasara na fidia. Simtetei Bashite ila hii ni "miscalculation".
Huyo boya ilia afungwe kesi ianzishe yenyewe serikali ndo patamu.
Bongo nyosso,bongo balaaIla Wabongo tunashida sana nyakati zake amefutilia mbali wauza ngada thkampigia makofi na kusema ameokoa vijana wetu kubebeshwa unga kwenye masoko ya kimataifa leo hii ndio sisi tunaonunua mchele na kuku ili tufanye sherehe ya yaya kukamatwa. Ajabu sana hii duni ni ndogo sana sina nikijuwacho
Hata saa mbovu kuna wakati inasomeka sawa.Ila Wabongo tunashida sana nyakati zake amefutilia mbali wauza ngada thkampigia makofi na kusema ameokoa vijana wetu kubebeshwa unga kwenye masoko ya kimataifa leo hii ndio sisi tunaonunua mchele na kuku ili tufanye sherehe ya yaya kukamatwa. Ajabu sana hii duni ni ndogo sana sina nikijuwacho
Baba yako mzazi ndio hana akili, tutusa zuzu kabisa wewehuna akili.
Kafunguliwa mashitaka na Kubenea ,ingekuwa amefunguliwa na Jamhuri kesi ingekuwa na nguvu
hatuwezi kujua inawezekana pia kuna watu nyuma ya Kubenea waliosuka huo mpango,kama wapo vigogo ndo nzuri zaidiJamhuri ingekuja kutuambia haina nia ya kuendelea na kesi, bora hata Kubenea.
Mmmh ngoja tuone
Bado huamini?Mmmh ngoja tuone
Ni wakati wa kuelewa Maovu yote ya huyu MakondaView attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Mwenye clip ya yule mwana hiphop wa Ilala Child Benz aliyemwambia Makonda kuwa atengeneze magereza kwanza kwa kuwa hata yeye aweza kuwa mfungwa atuwekee hapaView attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Nasema toka huko nyuma, siyo kwa hii ya tarehe 3, kumbe uelewa wako ni mdogoThe validity of the magazine content can be proved with time as per raised issue.
Subiri hadi hiyo tar 3 ya kesi inayozungumziwa ndipo useme kuwa content ya gazeti ni kweli au la.
Wewe umehukumu kabla ya kuthibitisha,hapa ndipo poor intellectual inapoonekana.
turawajua mmoja baada ya mwingine mliokua mkila pesa za matajir ili wao wawe km mashetanNo comment
Poor intellectual capacityNasema toka huko nyuma, siyo kwa hii ya tarehe 3, kumbe uelewa wako ni mdogo
By the way poor intellectual ndiyo nini
Mwenzio akinyolewa wewe ficha kiwembe na uondoke eneo la tukio.View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
You mental ability to comprehend issues is very low, you can not judge a person on a single and unsubstantiated issue. Inakunyesha ulivyo na maono hafifu ya ku integrate issue and put them in their right perspective.Poor intellectual capacity