macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Du kama ndivyo hivyo basi hakuna kipya. Au inaweza kuwa kuna mambo mawili: 1. Kubenea anatumika kuzima kelele za wananchi za kutaka Makonda afikishwe mahakamani. 2. Kubenea anatumika na timu Msoga ku-frustrate Makonda na kumpa mateso ya kisaikolojia.Kesi kaanzisha Kubenea mzee wa shanga. Respondents ni Makonda,DCI na DPP.
Hamna kesi hapo,na mlalamikaji asipoangalia ataingia hasara na fidia. Simtetei Bashite ila hii ni "miscalculation".
Huyo boya ilia afungwe kesi ianzishe yenyewe serikali ndo patamu.