Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Baba yako mzazi ndio hana akili, tutusa zuzu kabisa wewe
imekuumaee...narudia tena huna akili.[emoji1787][emoji1787]
IMG_20211127_090727.jpg

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Huna akili.
 
Kafunguliwa mashitaka na Kubenea ,ingekuwa amefunguliwa na Jamhuri kesi ingekuwa na nguvu
Ni usanii mtupu na si mpàka Mahakama ikubali, this is not automatic kuwa utakubaliwa. Ni application nwhich can be denied. Uko sahihi
 
You mental ability to comprehend issues is very low, you can not judge a person on a single and unsubstantiated issue. Inakunyesha ulivyo na maono hafifu ya ku integrate issue and put them in their right perspective.
You can understand the feeble minded person with poor intellectual ability even in the way of writing.

See how you write!...broken English, wrong spellings plus poor organisation tell it all that you are a victim of our poor educational system. I don't blame you!
 
View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Kama vile bashite namuona nyuma ya nondo za gereza usimutegeemee binadamu malipo hapa hapa dunian
 
You can understand the feeble minded person with poor intellectual ability even in the way of writing.

See how you write!...broken English, wrong spellings plus poor organisation tell it all that you are a victim of our poor educational system. I don't blame you!
You are a nincompoop! Shit!
 
You can understand the feeble minded person with poor intellectual ability even in the way of writing.

See how you write!...broken English, wrong spellings plus poor organisation tell it all that you are a victim of our poor educational system. I don't blame you!
We kafiri kabisa unakopi passage za watu unabandika hapa, blood bastard
 
Na tarehe 3 money heist wanaachia mzigo mpya, huu mwaka utaisha ukiwa na burudani nyingi
 
Hivi huyu mzee kaishia wapi, hasikiki tena siku hizi. Ubaharia umekwisha!

Kweli JF imetoka mbali. Kuna nyakati Le Mutuz alikuwa anatamba JF, na hakuna wa kumwambia jambo! Naona siku hizi hata ile kuchungulia tu kimyakimya hawezi.
Yupo pangoni amejichimbiamo kama sungura🤔.
 
Niliacha kununua magazeti kitambo ila hili kesho naenda nunua.. na kama kweli i'll stand with mama personally not nyinyiemu huyu jamaa kuna sehemu kupitia anko wangu kanigusa
Wote wenye chuki na Bashite wameguswa kama wewe, Mimi hajanigusa nashukuru
 
View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Kesi za kisasi zinasimamiwa na awamu ya sita. Shame on them tena mama samia aache kujidai ni kitu kimoja na magufuli. Kijana makonda anaandamwa na wauza madawa na fisadi. Ni wajibu wa dola ya ccm kumhakikishia amani.
 
View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
mhh! mr. bashite, yule mkewake mzurimzuri inabidi wamba tulidiscuss hili swala mapema tujue tunamgawanaje.
 
Back
Top Bottom