fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Tusubirie hiyo tar 03 mkuu.Sijui kwanini hili gazeti uwa siliamini amini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubirie hiyo tar 03 mkuu.Sijui kwanini hili gazeti uwa siliamini amini
Inabidi uliamini,unajua gharama ya kulipa fidia endapo habari kama hiyo itakuwa ni uwongo? endapo anaezushiwa akiwashi da kesi wenye gazeti,watatakiwa walipe bilioni kadhaa,wao siyo wajinga wajiingize kulipa fidia ya mabilioni,wanakijua wanachokiandija,hizo siyo habari za udaku ulizozoea kuzisoma za akina Wema kubeba mimba,la hasha!Sijui kwanini hili gazeti uwa siliamini amini
bilashaka wewe ni mwanamke, ndo huwa wanajishebedua na vingereza uchwara na wanawake kama ninyi huwa nawataka sana, maana nikiwakunja vzr hulia kwa kingereza.You can understand the feeble minded person with poor intellectual ability even in the way of writing.
See how you write!...broken English, wrong spellings plus poor organisation tell it all that you are a victim of our poor educational system. I don't blame you!
Alexander mnyeti naye kuna mawakili wamesha andaa documents kwa ajili ya kuwasilisha mahakamani ili kumshitakiHABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu
NIPASHE
Mzee wa kulialia nategemea vilio vingi sanaView attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Mbumbumbu kama wewe usiejua ata kuandika panapokufaa ni kwenye vibanda vya uwanja wa fisibilashaka wewe ni mwanamke, ndo huwa wanajishebedua na vingereza uchwara na wanawake kama ninyi huwa nawataka sana, maana nikiwakunja vzr hulia kwa kingereza.
Mwalimu Nyerere alishawahi kusema "Kuna dhambi zingine hukumu yake Iko ndani ya kitendo haisubiri"Mm shughuli inaendelea
Hapo mshitaki ni nani sasa?,ni Jamuhuri? ,Au mtu binafsi?HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu
NIPASHE
Mkuu ingependeza kwenye iyo avatar picha yako ugeweka burger , pizza nk.Kudadadeki, hatimaye mbabe atinga mahakamani, ya sabaya yamkuta, hili ni fundisho kwa vijana ukipata madaraka makubwa usiyatumie vibaya, mwisho wake si mzuri
Mungu awabariki mawakiliAlexander mnyeti naye kuna mawakili wamesha andaa documents kwa ajili ya kuwasilisha mahakamani ili kumshitaki
Kheri na Doto JamesAlianza Sabaya. Now Makonda. Next?????