Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu

NIPASHE
 
Sijui kwanini hili gazeti uwa siliamini amini
Inabidi uliamini,unajua gharama ya kulipa fidia endapo habari kama hiyo itakuwa ni uwongo? endapo anaezushiwa akiwashi da kesi wenye gazeti,watatakiwa walipe bilioni kadhaa,wao siyo wajinga wajiingize kulipa fidia ya mabilioni,wanakijua wanachokiandija,hizo siyo habari za udaku ulizozoea kuzisoma za akina Wema kubeba mimba,la hasha!
 
You can understand the feeble minded person with poor intellectual ability even in the way of writing.

See how you write!...broken English, wrong spellings plus poor organisation tell it all that you are a victim of our poor educational system. I don't blame you!
bilashaka wewe ni mwanamke, ndo huwa wanajishebedua na vingereza uchwara na wanawake kama ninyi huwa nawataka sana, maana nikiwakunja vzr hulia kwa kingereza.
 
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu

NIPASHE
Alexander mnyeti naye kuna mawakili wamesha andaa documents kwa ajili ya kuwasilisha mahakamani ili kumshitaki
 
View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Mzee wa kulialia nategemea vilio vingi sana
Kama mahakamani wanaruhusu kucheka ntakuwepo
 
bilashaka wewe ni mwanamke, ndo huwa wanajishebedua na vingereza uchwara na wanawake kama ninyi huwa nawataka sana, maana nikiwakunja vzr hulia kwa kingereza.
Mbumbumbu kama wewe usiejua ata kuandika panapokufaa ni kwenye vibanda vya uwanja wa fisi
 
Kudadadeki, hatimaye mbabe atinga mahakamani, ya sabaya yamkuta, hili ni fundisho kwa vijana ukipata madaraka makubwa usiyatumie vibaya, mwisho wake si mzuri
 
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu

NIPASHE
Hapo mshitaki ni nani sasa?,ni Jamuhuri? ,Au mtu binafsi?
 
Back
Top Bottom