Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kila mchuma janga hula na wakwao". It's Once SaidHABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.
View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Awamu ya 7 watawapandisha kizimbani wa awamu ya 6,
Drama zinaendelea,
Wadanganyika tunaendelea kudanganyika.
Mafisadi na vizazi vyao vikiendelea kula keki ya Taifa.
Bila shaka watakaoghaaramia hiyo kesi Manji hatakisekana.HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu
NIPASHE
napata wakati mgumu kufikiri namna private person atakavyo wa compel clouds au wengine wowote wale kutoa vielelezo na ushahidi. kumbuka, kuokota tu clip kwenye youtube haimaanishi mahakama itaipokea, kuna mlolongo mrefu sana wa vitu vinatakiwa kutimizwa kabla ya electronic evidence kupokelewa mahakamani. watakusanyaje ushahidi? ndio swali. but wazo ni zuri bashite anatakiwa kupelekwa kwa pilato na aswekwe gerezani kabisa. nyumba na mali zingine zitaifishwe hadi arudi koromije.angekua anashtakiwa na Jamahuri kama Sabaya hapo inge make sense ila hao mawakili njaa hawana lolote wanataka watusahaurishe mgao wa umeme na maji tu sio kingine kenge hao ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeehNiliacha kununua magazeti kitambo ila hili kesho naenda nunua.. na kama kweli i'll stand with mama personally not nyinyiemu huyu jamaa kuna sehemu kupitia anko wangu kanigusa
Mlisema haitatokea Makonda akafunguliwa mashtaka. Yametimia mkuu. Kila mtu atawajibika kwa wakati na makosa yake. Kama unajiona kipofu kwamba alivyoenda na majambazi wenzake pale clouds kuvamia na silaha nzito basi ni upofu uliopindukia.wabongo masnitch sana[emoji28],,, yani rugemalila na singa singa watolewe aingizwe makonda jela?
Jinai ikishafunguliwa hata kama ni mtu kaifungua hiyo ni kesi ya Jamhuri dhidi ya mshtakiwa.napata wakati mgumu kufikiri namna private person atakavyo wa compel clouds au wengine wowote wale kutoa vielelezo na ushahidi. kumbuka, kuokota tu clip kwenye youtube haimaanishi mahakama itaipokea, kuna mlolongo mrefu sana wa vitu vinatakiwa kutimizwa kabla ya electronic evidence kupokelewa mahakamani. watakusanyaje ushahidi? ndio swali. but wazo ni zuri bashite anatakiwa kupelekwa kwa pilato na aswekwe gerezani kabisa. nyumba na mali zingine zitaifishwe hadi arudi koromije.
[emoji16][emoji16]aiiiii bashiteeee (kwa sauti ya kapteni komba)
Fisadi kuu amekufaAwamu ya 7 watawapandisha kizimbani wa awamu ya 6,
Drama zinaendelea,
Wadanganyika tunaendelea kudanganyika.
Mafisadi na vizazi vyao vikiendelea kula keki ya Taifa.
le baharia ameishaz sana ,mi nilicheka kuona anaji selfie yupo Hospitali,hakika yule mzee ni tunu ya Taifa😂Ukikutana nae unaeza jua ni mdogo wake na Le mutuz. Apatiwe polezzz you know people zushed kuwa aliplastic surgery u nou Le mbebeeez tuzzzz
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mbona hayo ni maombi ya Kubenea kuwa Private Prosecutor? Haya magazeti mengine bhana ni uongo uongo tu!HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.
View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Vipi ulikuwa unauza madawa?Niliacha kununua magazeti kitambo ila hili kesho naenda nunua.. na kama kweli i'll stand with mama personally not nyinyiemu huyu jamaa kuna sehemu kupitia anko wangu kanigusa
Umezisoma hizo charges? Pia watuhumiwa? Hakuna kesi hapo Kubenea anatafuta kiki tu.Jinai ikishafunguliwa hata kama ni mtu kaifungua hiyo ni kesi ya Jamhuri dhidi ya mshtakiwa.
Wewe ndugu yangu kila kitu huwa ni mbishi huwa nakuona. Unadhani mahakama ni wajinga hadi wakubali shauri la maombi ya kufungua kesi likubaliwe? Hivi hivi mlisema kuhusu Sabaya matokeo yake yameonekana.Umezisoma hizo charges? Pia watuhumiwa? Hakuna kesi hapo Kubenea anatafuta kiki tu.