Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.

View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
"Kila mchuma janga hula na wakwao". It's Once Said
 
Hiloo ni swali la Msingi Sana. Siasa za Visasi vimesha pitwa na wakati
Awamu ya 7 watawapandisha kizimbani wa awamu ya 6,

Drama zinaendelea,

Wadanganyika tunaendelea kudanganyika.

Mafisadi na vizazi vyao vikiendelea kula keki ya Taifa.
 
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu

NIPASHE
Bila shaka watakaoghaaramia hiyo kesi Manji hatakisekana.
 
Hapa kuwe na kesi ndogo ya kudadisi ukweli kuhusu jina lake na background yake halisi. Jee, ni yupi kati ya Paul Makonda au Daudi Albert Bashite atakayesimamishwa kizimbani?
 
angekua anashtakiwa na Jamahuri kama Sabaya hapo inge make sense ila hao mawakili njaa hawana lolote wanataka watusahaurishe mgao wa umeme na maji tu sio kingine kenge hao ...
napata wakati mgumu kufikiri namna private person atakavyo wa compel clouds au wengine wowote wale kutoa vielelezo na ushahidi. kumbuka, kuokota tu clip kwenye youtube haimaanishi mahakama itaipokea, kuna mlolongo mrefu sana wa vitu vinatakiwa kutimizwa kabla ya electronic evidence kupokelewa mahakamani. watakusanyaje ushahidi? ndio swali. but wazo ni zuri bashite anatakiwa kupelekwa kwa pilato na aswekwe gerezani kabisa. nyumba na mali zingine zitaifishwe hadi arudi koromije.
 
Niliacha kununua magazeti kitambo ila hili kesho naenda nunua.. na kama kweli i'll stand with mama personally not nyinyiemu huyu jamaa kuna sehemu kupitia anko wangu kanigusa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh
 
wabongo masnitch sana[emoji28],,, yani rugemalila na singa singa watolewe aingizwe makonda jela?
Mlisema haitatokea Makonda akafunguliwa mashtaka. Yametimia mkuu. Kila mtu atawajibika kwa wakati na makosa yake. Kama unajiona kipofu kwamba alivyoenda na majambazi wenzake pale clouds kuvamia na silaha nzito basi ni upofu uliopindukia.

Ukiachana na hilo ana tuhuma nyingi za wazi tena mwenyewe akiwa anajigamba hadharani.Mkuu madaraka sijui kwanini yanawalevya vijana wengj pasipo kujua athari zake.
 
napata wakati mgumu kufikiri namna private person atakavyo wa compel clouds au wengine wowote wale kutoa vielelezo na ushahidi. kumbuka, kuokota tu clip kwenye youtube haimaanishi mahakama itaipokea, kuna mlolongo mrefu sana wa vitu vinatakiwa kutimizwa kabla ya electronic evidence kupokelewa mahakamani. watakusanyaje ushahidi? ndio swali. but wazo ni zuri bashite anatakiwa kupelekwa kwa pilato na aswekwe gerezani kabisa. nyumba na mali zingine zitaifishwe hadi arudi koromije.
Jinai ikishafunguliwa hata kama ni mtu kaifungua hiyo ni kesi ya Jamhuri dhidi ya mshtakiwa.
 
Akitaka kumaliza kesi mapema akatae jina la Paul Makonda ajiite Bashite.
 
Awamu ya 7 watawapandisha kizimbani wa awamu ya 6,

Drama zinaendelea,

Wadanganyika tunaendelea kudanganyika.

Mafisadi na vizazi vyao vikiendelea kula keki ya Taifa.
Fisadi kuu amekufa
 
Kesi za kisiasa tu hizi....hao wanaomshitaki wanatafuta 'kiki' tu.
 
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.

View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Mbona hayo ni maombi ya Kubenea kuwa Private Prosecutor? Haya magazeti mengine bhana ni uongo uongo tu!
 
Niliacha kununua magazeti kitambo ila hili kesho naenda nunua.. na kama kweli i'll stand with mama personally not nyinyiemu huyu jamaa kuna sehemu kupitia anko wangu kanigusa
Vipi ulikuwa unauza madawa?
 
Jinai ikishafunguliwa hata kama ni mtu kaifungua hiyo ni kesi ya Jamhuri dhidi ya mshtakiwa.
Umezisoma hizo charges? Pia watuhumiwa? Hakuna kesi hapo Kubenea anatafuta kiki tu.
 
Umezisoma hizo charges? Pia watuhumiwa? Hakuna kesi hapo Kubenea anatafuta kiki tu.
Wewe ndugu yangu kila kitu huwa ni mbishi huwa nakuona. Unadhani mahakama ni wajinga hadi wakubali shauri la maombi ya kufungua kesi likubaliwe? Hivi hivi mlisema kuhusu Sabaya matokeo yake yameonekana.

Kesi yoyote ya jinai ni Jamhuri dhidi ya mshtakiwa hata kama imefunguliwa na mtu binafsi. Kosa analotuhumiwa nalo ni kosa lililokatazwa na Jamhuri kupitia statutes.
 
Kesi nyingi za jinai tumezoa Jamhuri akichukua uongoz na siyo mtu binafsi. Katika kesi ya jinai iliyofunguliwa dhidi Makonda, Kubenea ndiyo mlalamikaji. Hoja anazolalamikia zinahusu uvamizi wa Clouds ambapo waiovamiwa walishasema awahusiki, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.

Leo tunaona magazeti yanaweka hii case Frontline, social media zinajadili, wapinzani nao wanaunga mkono; je kama Jamhuri haijaona kona Kubenea atathibitishaje ? Kama waliovamiwa wamejiweka pembeni kubenea Ali uchunguzi Mwenyewe? Kumbukeni tumeambiwa loudly kwamba Mahakamani siyo kwa Mama zenu, tunajichosha nn na agenda mfu za Kubenea?
 
Back
Top Bottom