Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Serikali ilishasema haina nia ya kumshtaki Makonda, Cloudz nao wakaja na kauli inayofanana na hiyo, sasa Kubenea kumshtaki Makonda kwa jambo ambalo hakufanyiwa yeye bali alifanyiwa yule ambae alishasema hausiki na hayo mashtaka sidhani kama atapata ushirikiano atakaohitaji, na hao majaji wanaosikiliza serikali inataka nini ndio waamue kesi sioni wakimpa Kubenea haki yake kama itafika huko.
 
Ukiwa zuzu kama Kubenea lazima uwe mwendawazimu haishagi kufanya personal attack kipindi Fulani alimfuatilia sana Chenge na ujinga ujinga anaoendelea nao dhidi ya Makonda
 
Mm nahisi Hawa watu wenye mlengwa kama wakina Kubenea ni watu hatari sana kwa mstakabali wa Nchi,maana Leo watasema ashtakiwe huyu kesho yule mwisho wa siku Kila mtu atakuwa mshitakiwa Kwa chuki zisizokuwa na maana.Najua Makonda alipambana sana Madawa ya kulevi kwa mstakabali wa vijana wetu ambao walijiingiza kwenye biashara hiyo hatari
 
Hizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.

Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.

Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.

===≠=======

Halafu ikumbukwe hata kama Kubenea ataruhusiwa kushtaki, DPP anakuwa bado ana mamlaka ya kuingilia shauri hilo muda wowote anaotaka na kutumia kifungu pendwa cha 98 (a) au (b) cha Sura ya 20 ya Sheria zetu kuondoa shauri kwa NOLE.

Sio kazi rahisi kama inavyotamkwa magazetini
WATANGANYIKA KWA KUTETEA MAMBO YA KIPAMBAFU HAMJABO!NANI HAJUI MATENDO MAOVU YA MAKONDA?
 
Kuna members wenzetu humu.
"NI BENDERA FUATA UPEPO"
na hawatumii akili.
NI kweli tunapenda afikishwe mahakamani ila sio kwa njia hyo ya raia mwema alivyosema.
 
Elimu take ya hapa na pale anajitahidi kuitumia...
 
Unamuelewa vizuri Kubenea au unamuona magazetini tu?

Kuna usemi wa kiswahili kuwa ukimuona ngedere kariakoo basi ujue kuwa kuna mtu amemleta mjini
Unamzungumzia Kubenea huyu huyu alitaka "kumshughulikia" Mwenuekiti wake Gaidi Mbowe akaishia kuomba msamaha au unamaanisha Kubenea mwingine?
 
Hizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.

Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.

Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.

===≠=======

Halafu ikumbukwe hata kama Kubenea ataruhusiwa kushtaki, DPP anakuwa bado ana mamlaka ya kuingilia shauri hilo muda wowote anaotaka na kutumia kifungu pendwa cha 98 (a) au (b) cha Sura ya 20 ya Sheria zetu kuondoa shauri kwa NOLE.

Sio kazi rahisi kama inavyotamkwa magazetini
Ushabiki unakufanya uwe na akili za kuku
 
Mm nahisi Hawa watu wenye mlengwa kama wakina Kubenea ni watu hatari sana kwa mstakabali wa Nchi,maana Leo watasema ashtakiwe huyu kesho yule mwisho wa siku Kila mtu atakuwa mshitakiwa Kwa chuki zisizokuwa na maana.Najua Makonda alipambana sana Madawa ya kulevi kwa mstakabali wa vijana wetu ambao walijiingiza kwenye biashara hiyo hatari
Tafuta shuka ujifunike acha kujiaibisha. MAKONDA alipambana na madawa ya kulevya au alikamata watu kiholela apate hongo? Kwa mamlaka gani Mkuu wa mkoa anaanzisha ukamataji na upelelezi yeye mwenyewe na kisha kufunga kesi yeye mwenyewe?
 
Kesi nyingi za jinai tumezoa Jamhuri akichukua uongoz na siyo mtu binafsi. Katika kesi ya jinai iliyofunguliwa dhidi Makonda, Kubenea ndiyo mlalamikaji. Hoja anazolalamikia zinahusu uvamizi wa Clouds ambapo waiovamiwa walishasema awahusiki, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.

Leo tunaona magazeti yanaweka hii case Frontline, social media zinajadili, wapinzani nao wanaunga mkono; je kama Jamhuri haijaona kona Kubenea atathibitishaje ? Kama waliovamiwa wamejiweka pembeni kubenea Ali uchunguzi Mwenyewe? Kumbukeni tumeambiwa loudly kwamba Mahakamani siyo kwa Mama zenu, tunajichosha nn na agenda mfu za Kubenea?
Serikali ni mshstakiwa mojawapo. Hujaona hati ya mashtaka?
 
Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa Jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi Jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa Jumamosi tar 27 mahakamani? Je, application inakuwa na court seal?
IMG_20211128_070354.jpg
 
Tafuta shuka ujifunike acha kujiaibisha. MAKONDA alipambana na madawa ya kulevya au alikamata watu kiholela apate hongo? Kwa mamlaka gani Mkuu wa mkoa anaanzisha ukamataji na upelelezi yeye mwenyewe na kisha kufunga kesi yeye mwenyewe?
CMG & Serikali wamekataa
 
Back
Top Bottom