denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Serikali ilishasema haina nia ya kumshtaki Makonda, Cloudz nao wakaja na kauli inayofanana na hiyo, sasa Kubenea kumshtaki Makonda kwa jambo ambalo hakufanyiwa yeye bali alifanyiwa yule ambae alishasema hausiki na hayo mashtaka sidhani kama atapata ushirikiano atakaohitaji, na hao majaji wanaosikiliza serikali inataka nini ndio waamue kesi sioni wakimpa Kubenea haki yake kama itafika huko.