wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ccm ndio inampeleka chooni la sivyo constipation itamhusu.Yule aliyevamiwa naye ni kilaza tu anajitahidi kuwa upande wa watawala kisa kuficha maovu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ndio inampeleka chooni la sivyo constipation itamhusu.Yule aliyevamiwa naye ni kilaza tu anajitahidi kuwa upande wa watawala kisa kuficha maovu yao
Tukusaidieje sasa?Hiyo ni tar 27/11/2021. Pia application haiwezi kuwa na court seal.
Raia mwema wanapotosha ummaTukusaidieje sasa?
Ajiandae kuzomewa na wenye nchi maana ccm sasa ndiyo inatufia mikononi sisi wana jambianiCcm ndio inampeleka chooni la sivyo constipation itamhusu.
Wewe endelea kusoma uhuru na mzalendoRaia mwema wanapotosha umma
Chuo cha uvuvi NyegeziUnajua nini wewe? Subiri uone moto unavyo muwakia Makonda wakoView attachment 2025798
Mla panya buku huwezi kujitambua.Wewe endelea kusoma uhuru na mzalendo
Na linavyogombewa mitaani hadi sasa limekwishaRaia mwema wanapotosha umma
Ushaishiwa mipangoChuo cha uvuvi Nyegezi
Pressure ya nini, kama yuko cleanDada Bite, hakuna kitu pale!.
Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.
Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.
Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.
Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.
Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.
Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.
Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.
Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.
Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.
Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.
Hivyo hoja zangu kwenye bandiko hili Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. bado ziko valid and still stands.
P
Nakukumbusha tu we mla panyaUshaishiwa mipango
Kwa habari za uzushi?Na linavyogombewa mitaani hadi sasa limekwisha
Corona inatishaNakukumbusha tu we mla panya
Kasome uhuru na mzalendoKwa habari za uzushi?
Sukuma gang ni zamu yenu sasa kuisoma nambaUkizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa Jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi Jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa Jumamosi tar 27 mahakamani? Je, application inakuwa na court seal?
View attachment 2025777
Wala panya mlileta Covid -19Corona inatisha
Mla panya unajua mimi ni nani?Ushaishiwa mipango
Sijakuelewa kwa kweliMahakama waliipokea hiyo misc criminal application tar 27?
Inazidi kuwafyekeelea mbaliWala panya mlileta Covid -19