Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa Jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi Jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa Jumamosi tar 27 mahakamani? Je, application inakuwa na court seal?
View attachment 2025777
Mimi nikizoom naona tarehe 24 na siyo tarehe 27, Tarehe 27 ndo gazeti lilitoka
 
Ukizoom hiyo document iliyopelekwa mahakamani kufungua kesi imesainiwa Jumamosi tar 27/11/2021 kuonyesha imepokelewa. Ukweli ni kuwa mahakama hazifanyi kazi Jumamosi. Pia haionyesha jina la mleta maombi na wala hakuna mahala aliposaini. Hii ni fake document. Raia mwema wanapotosha. Je Misc application 7/2021 ilipokelewa Jumamosi tar 27 mahakamani? Je, application inakuwa na court seal?
View attachment 2025777
Mle tungwa
 
Waliomtuma wana kila nyenzo ya kumlinda, kubwa zaidi majaji ni wa kwao, na hao watakaotakiwa kutoa ushahidi wanaweza wakaogopa kufunguka ipasavyo kwa kuhofia "usalama" wao na vitega uchumi vyao.
Aliyemtuma Sabaya ndo alimtuma Makonda .Vipi usalama na uchumi wa.....
..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
kwani huyo Kubenea ni lini atawapeleka mahakamani wale waliomwagia tindikali
 
Wacha upepo uvume tuzione nyeti za kuku. Kuna maovu mengi sana Makonda alifanya na hayakuwa kuripotiwa popote,sasa huko mahakamani ndiyo tutayajua mengi kama ambavyo tumejua upuuzi mwingi unaofanywa na Polisi kuwabambikia wapinzani kesi ili kuinusuru CCM katika kesi ya kishetani ya kumsingizia Mbowe kuwa ni gaidi. Na pia kupitia kesi ya Mbowe Watanzania tumejionea wenyewe jinsi Mahakama inavyonajisiwa na watawala wabovu,Jaji anafanywa kama houseboy kuendesha kesi kiboya ili ilingane na hukumu aliyokwisha andikiwa na mtawala.Wacha mvua inyesha tuone wapi panavuja.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Dada Bite, hakuna kitu pale!.

Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.

Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.

Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.

Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.

Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.

Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.

Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.

Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.

Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.

Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.
Hivyo hoja zangu kwenye bandiko hili Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. bado ziko valid and still stands.

P
Kesi iko mahakamani,tuaichie Mahakama ifanye kazi yake,kama haina mashiko itatupiliwa mbali

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.

Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.

Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.

===≠=======

Halafu ikumbukwe hata kama Kubenea ataruhusiwa kushtaki, DPP anakuwa bado ana mamlaka ya kuingilia shauri hilo muda wowote anaotaka na kutumia kifungu pendwa cha 98 (a) au (b) cha Sura ya 20 ya Sheria zetu kuondoa shauri kwa NOLE.

Sio kazi rahisi kama inavyotamkwa magazetini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Nole kivipi Sasa, wakati kesi haijafunguliwa na Dpp... Yeye anamamlaka na kesi anazoshtaki yeye na kifungu ni 91
 
Wahusika hawatambui mashtaka, ila anaibuka kubenea.

Hii inaonesha wazi wahusika wako pamoja na kubenea nyuma ya pazia, lakini pia kuna uwezekano kubenea anao watu nyuma yake na wanao ushahidi wa kutosha na hii kesi imeletwa ili kukamilisha mpango fulani.
Huyo saed kubenea wana ugomvi na makonda toka ikiwa mbunge wa jimbo mojawapo la dar na yeye makonda akiwa mkuu wa wilaya hapo dar....

Ilikuwa hivi, kulitokea tatizo kwenye eneo lao, kubenea akawahi kufika na kuitisha mkutano kwa wananchi..watu wakaitikia kweli...ila ghafla mkuu wa wilaya makonda akaingia na gari zake...akamkuta kubenea anaendesha mkutano kama mwenyekiti.....makonda akawa anabaniwa nafasi ya kuongea....sasa makonda akauliza ww mbunge unasikiliza matatizo na unatoa solution , nani utamwagiza kutekeleza hiyo solution yako? Mbele ya wananchi kubenea, akasema na mkuu wa mkoa....makonda akamuuliza ww una serikali? Kubenea akaanza kufoka na kurushiana maneno mbele za watu....unajua kilitokea nini?

Makonda akatoa amri kwa askari wakamkamata kubenea hovyohovyo wakampeleka sero hahahahaha....kwahiyo hao jamaa hawapatani kabisa
 
Dada Bite, hakuna kitu pale!.

Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.

Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.

Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.

Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.

Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.

Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.

Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.

Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.

Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.

Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.
Hivyo hoja zangu kwenye bandiko hili Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. bado ziko valid and still stands.

P
Wewe ni MJ#NG@ unajua mateso aliyowapatia watu nyakati yuko kwenye cheo au wee ndio mshtakiwa mwenyewe
 
Kubenea anaenda kukata kiu ya mamilioni nikiwepo mimi. Bila kujali mahakama itaenda kuamuaje, lakini tu kufika viunga vya mahakama inatosha.

Jah Bles
 
Nilichokuwa sifahamu ni kuwa lengo la ule uvamizi lilikuwa kushinikiza kurushwa picha zinazomdhalilisha mch Gwajima.

Madaraka ni zaidi ya kilevi.
 
Back
Top Bottom