Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wamemchora aonekane kama gaidi, sijui wana wasiwasi wa nn, au labda wanahofia matumizi ya hizo pesa walizomkuta nazo, japo hata sio nyingi.Dah.. hiyo sheria anayosoma Ndugu Mganga ni kali sana jamani..
Hizo hela hazifiki 30M ila balaa lake zito sana...
Mungu akusimamie Kiongozi yataisha
Nina wasiwasi, amount ya pesa on him ni kidogo sana kuwarrant an arrest,Kesi dhaifu sana hii, hizi ndio kesi za kuwapa ujiko mawakili
Nitashangaa sana kama wengi hamuoni udhaifu wa mashtaka haya.
Hizo lazima zitakuwa pesa za kampeni. Swali je; Nani huko Kenya anataka Kubenea awe mbunge na kwa manufaa gani? AU katumwa na nani?
Kwanini asishtakiwe kuingia ndani ya nchi kiholela?Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Huyu Kubenea ndio alisema anajua mahali alipo Ben saanane!Ndio maana nimekwambia hii ni kesi dhaifu, hakuna ushahidi wa passport ya Kubenea kutoka nje ya nchi.
Hakuna kosa lolote ndani ya Tanzania kulipana pesa kwa foreign currency.
Dpp hawezi kushinda kesi hii kwenye court of law. Ni kesi ya hisia tu kuliko uhalisia.
Mahakamani lazima uiridhishe mahakama pasi na shaka yoyote jinai iliyotendwa na mshtakiwa.
Traitor ni traitor sasa apambane kivyake pumbavAliondoka kistaarabu sana, hakuongea pumba wakati anaondoka.
Hivi yule wa 'hotel Rwanda' walimdanganya kitu gani hasa mpk wakamdaka kizembe namna ile mkuu?Ninadhani amekuwa decoyed kama Kagame alivyofanya kwa Paul Rusesabagina (Hotel Rwanda Oscar Award recipient) hivi karibuni.
Pole Camaradie Kubenea utakuwa ulikwenda kusaka pesa za kampeini, ila siku hizi hawa jamaa wameziba na kutuatilia udhibiti wa kila mwanya/njia inayoweza kutoa upenyo kwa upinzani kupata uwezo wa kuendesha kampeini zao, ingawa wao waliisha kuvuna pesa za kampeini kupitia kwa mkataba wa akina Thobias Andengenye na Lugola, pamoja na mkataba wa manunuzi ya mbolea kupitia kwa wizara ya kilimo (Hassunga anahusika).
Huyu kubenea mbona anafanya mambo kishamba kama hakusoma?.
Na hivi sheria inataka udeclare amount kiasi gani na kwanini atumie njia za panya kuingia na kutoka tz?
Kwani Kubenea nae ni mpinzani?Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Mkuu kwa hili tatizo la Kubenea ni uchoyo na ubinafsi tu.Huyu kubenea mbona anafanya mambo kishamba kama hakusoma?.
Na hivi sheria inataka udeclare amount kiasi gani na kwanini atumie njia za panya kuingia na kutoka tz?
Nina wasiwasi,amount ya pesa on him ni kidogo sana kuwarrant an arrest,,
Kuingia na kutoka njia ya panya,kunataka red handed caughting,,au ushahidi wa video footage
Kubenea amehama Chadema na kuhamia ACT, na kwa uhasama pale Ubungo.Za Lisu hizo
Ndiyo ajue kuwa kuisaliti chadema hakuwezi kumuwacha mtu salamaKubenea ndo mwisho wa safari yake ya ubunge?
Alisema ana MBA,elimu ya hapa na pale.Kubenea hajasoma.
Nadhani hata form 4 hakumaliza, yeye mwenyewe aliwahi kuhojiwa akasema ameishia form 4 then akasoma hapa na pale.
Tamaa iliyo mzidi uwezoWacha aisome namba mpuuzi Sana huyu jamaa
Kwahiyo itakuwa hakuzideclare ili asilipe kodi. Lazima kunamtu amemchoma, maana polisi walijuaje yote hayo mpaka kumfuatilia?Hizo pesa inaweza kuwa malipo kutoka Buni Media!