Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Dah.. hiyo sheria anayosoma Ndugu Mganga ni kali sana jamani..
Hizo hela hazifiki 30M ila balaa lake zito sana...
Mungu akusimamie Kiongozi yataisha
Jamaa wamemchora aonekane kama gaidi, sijui wana wasiwasi wa nn, au labda wanahofia matumizi ya hizo pesa walizomkuta nazo, japo hata sio nyingi.
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Kwanini asishtakiwe kuingia ndani ya nchi kiholela?
 
Ndio maana nimekwambia hii ni kesi dhaifu, hakuna ushahidi wa passport ya Kubenea kutoka nje ya nchi.

Hakuna kosa lolote ndani ya Tanzania kulipana pesa kwa foreign currency.

Dpp hawezi kushinda kesi hii kwenye court of law. Ni kesi ya hisia tu kuliko uhalisia.

Mahakamani lazima uiridhishe mahakama pasi na shaka yoyote jinai iliyotendwa na mshtakiwa.
Huyu Kubenea ndio alisema anajua mahali alipo Ben saanane!
 
Ninadhani amekuwa decoyed kama Kagame alivyofanya kwa Paul Rusesabagina (Hotel Rwanda Oscar Award recipient) hivi karibuni.

Pole Camaradie Kubenea utakuwa ulikwenda kusaka pesa za kampeini, ila siku hizi hawa jamaa wameziba na kutuatilia udhibiti wa kila mwanya/njia inayoweza kutoa upenyo kwa upinzani kupata uwezo wa kuendesha kampeini zao, ingawa wao waliisha kuvuna pesa za kampeini kupitia kwa mkataba wa akina Thobias Andengenye na Lugola, pamoja na mkataba wa manunuzi ya mbolea kupitia kwa wizara ya kilimo (Hassunga anahusika).
Hivi yule wa 'hotel Rwanda' walimdanganya kitu gani hasa mpk wakamdaka kizembe namna ile mkuu?
 
Huyu kubenea mbona anafanya mambo kishamba kama hakusoma?.
Na hivi sheria inataka udeclare amount kiasi gani na kwanini atumie njia za panya kuingia na kutoka tz?
Mkuu kwa hili tatizo la Kubenea ni uchoyo na ubinafsi tu.

Ni lini ulisikia Drugs Tycoon amekamatwa airport anasafirisha unga?

Dunia nzima magendo yanasafirishwa na vijana wa kazi au mawakala.

Biashara ya kusafirisha pesa nk Wasomali na wahindi.

Mtu analipa pesa Canada, wewe unakwenda kuipokea kariakoo na pesa haisafirishwi.
 
Za Lisu hizo
Kubenea amehama Chadema na kuhamia ACT, na kwa uhasama pale Ubungo.

Chadema Ubungo imepasuka sababu ya ishu yake na Boni (mtu wa Mbowe).

ACT Ubungo ndo chama pekee kilichomuwekea Boni pingamizi pamoja na wagombea wote udiwani wa CHADEMA UBUNGO. Hili pingamizi la ACT ndo limemuengua Boni kugombea ubunge Ubungo. Kitu ambacho hakiwezi kufurahisha akina Mbowe.

Kwahiyo sidhani kama Kubenea anashirikiana na Lissu, ili hali akina Mbowe na wenzake wanammind.
 
Back
Top Bottom