Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Kubenea kapokea kiinua mgongo zaidi ya TZS 200 million, kufanya money laundering ya TZS 28 million haijaeleweka
Atakuwa anakwepa kodi ya mapato kama ni pesa ya mapato. Hakuna anayeridhika na pesa.
 
Huyu kubenea mbona anafanya mambo kishamba kama hakusoma?.
Na hivi sheria inataka udeclare amount kiasi gani na kwanini atumie njia za panya kuingia na kutoka tz?

Mlamu, umesahau kuwa elimu ya Kubenea ni ya hapa na pale!
 
Aiseee milioni 25 zimemuharibia maisha wakati juzi juzi kapata mil 250 hakuna jinsi akae chini haraka na DPP wamalize kesi.
 
Hivi sheria inayosimamia na kudhibiti anti money Laundering mfano una mtu nje ya nchi uk nk akatuma pesa kwaajili ya uwekezaji ni taratibu gani unatakiwa kutumia
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Husimuonee p.mselewa ni kwamba sheria za kuingia au kutoka ndani ya nchi ziliwekwa kwa ajili ya usalama wa taifa kwa maana unaweza kuwa mtanzania lakini ukawa unahujumu taifa lako hivyo ndio maana kuna mipaka iliwekwa kisheria ili uweze kuruhusiwa na masharti yake, utashangaa kitu hapa pesa za kigeni hapa ndani zipo ukiitaji unaenda kubadilisha kila pesa hiyo unapotaka kuvuka mpaka lazima ubebe kwa kiwango Fulani na ihalalishwe na wanahusika,unatakiwa ujue kuna sheria zipo kama zimekufa lakini ikitokea umeharibu alafu ni famous inakuumiza,mfano:sheria ya umiliki wa laini tumeambiwa ukitaka kutumia zaidi ya moja omba kila wengi wanazo hadi kumi na hawajaomba siku ukiharibu hizo laini zitakuja kukufunga,zipo sheria nyingi zinaonekana kama mfu ila ukiaribu zinauma.
 
Mtu yuko ndani ya nchi yake unawezaje kusema ameingia kiholela?

Hivi unadhani mahakamani kuna maboya kama wewe wa kuendesha kesi kwa kuhisi bila ushahidi usio na shaka?

Lete ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kiholela.
Sasa nyumba yako ina mlango wa kuingilia, wewe unarudi usiku saa sita unachupa ukuta, umeingia kihalali apo? Au hukufunzwa adabu kwenu?

Halafu kajifunze kitu:

Criminalization of Illegal Entry Around the World
 
Mtu yuko ndani ya nchi yake unawezaje kusema ameingia kiholela?

Hivi unadhani mahakamani kuna maboya kama wewe wa kuendesha kesi kwa kuhisi bila ushahidi usio na shaka?

Lete ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kiholela.

Keshatiwa mbaroni tayari, hiyo ni hatua ya kwanza... hayo unayosema wewe yatajulikana mahakamani.

Swali la msingi, je ni lini kesi hiyo itasomwa na kumalizika?
 
Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Pointi nzuri, lakini haihalalishi makosa. I wonder kwa nini mtu kama Kubenea anatumia njia za panya kutoka na kuingia nchini. Bado sijaelewa mantiki yake
 
Hizo lazima zitakuwa pesa za kampeni. Swali je; Nani huko Kenya anataka Kubenea awe mbunge na kwa manufaa gani? AU katumwa na nani?
mawazo yako finyu sana! Kwani lazima atumwe au ukikopa hela nje ni lazima kuna mtu anakutuma?
 
Back
Top Bottom