Atakuwa anakwepa kodi ya mapato kama ni pesa ya mapato. Hakuna anayeridhika na pesa.Kubenea kapokea kiinua mgongo zaidi ya TZS 200 million, kufanya money laundering ya TZS 28 million haijaeleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa anakwepa kodi ya mapato kama ni pesa ya mapato. Hakuna anayeridhika na pesa.Kubenea kapokea kiinua mgongo zaidi ya TZS 200 million, kufanya money laundering ya TZS 28 million haijaeleweka
Huyu kubenea mbona anafanya mambo kishamba kama hakusoma?.
Na hivi sheria inataka udeclare amount kiasi gani na kwanini atumie njia za panya kuingia na kutoka tz?
Masikini Kubenea vicent vyake vya kufanyia kampeini ndiyo hivyo vime zamishwa na ccm(KES 491,700 X 23) + (USD 8000 x 2314) = TZS 28,411,327.80.
Kuna mtu wake wa karibu 'kauza' mechi!Kwahiyo itakuwa hakuzideclare ili asilipe kodi. Lazima kunamtu amemchoma, maana polisi walijuaje yote hayo mpaka kumfuatilia?
Mtu yuko ndani ya nchi yake unawezaje kusema ameingia kiholela?Kwanini asishtakiwe kuingia ndani ya nchi kiholela?
Husimuonee p.mselewa ni kwamba sheria za kuingia au kutoka ndani ya nchi ziliwekwa kwa ajili ya usalama wa taifa kwa maana unaweza kuwa mtanzania lakini ukawa unahujumu taifa lako hivyo ndio maana kuna mipaka iliwekwa kisheria ili uweze kuruhusiwa na masharti yake, utashangaa kitu hapa pesa za kigeni hapa ndani zipo ukiitaji unaenda kubadilisha kila pesa hiyo unapotaka kuvuka mpaka lazima ubebe kwa kiwango Fulani na ihalalishwe na wanahusika,unatakiwa ujue kuna sheria zipo kama zimekufa lakini ikitokea umeharibu alafu ni famous inakuumiza,mfano:sheria ya umiliki wa laini tumeambiwa ukitaka kutumia zaidi ya moja omba kila wengi wanazo hadi kumi na hawajaomba siku ukiharibu hizo laini zitakuja kukufunga,zipo sheria nyingi zinaonekana kama mfu ila ukiaribu zinauma.Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Sasa nyumba yako ina mlango wa kuingilia, wewe unarudi usiku saa sita unachupa ukuta, umeingia kihalali apo? Au hukufunzwa adabu kwenu?Mtu yuko ndani ya nchi yake unawezaje kusema ameingia kiholela?
Hivi unadhani mahakamani kuna maboya kama wewe wa kuendesha kesi kwa kuhisi bila ushahidi usio na shaka?
Lete ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kiholela.
Fafanua mkuu. Au yule wa Serengeti?Kuna mtu wake wa karibu 'kauza' mechi!
Mtu yuko ndani ya nchi yake unawezaje kusema ameingia kiholela?
Hivi unadhani mahakamani kuna maboya kama wewe wa kuendesha kesi kwa kuhisi bila ushahidi usio na shaka?
Lete ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kiholela.
Pointi nzuri, lakini haihalalishi makosa. I wonder kwa nini mtu kama Kubenea anatumia njia za panya kutoka na kuingia nchini. Bado sijaelewa mantiki yakeKama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Ni namna ya kujitoa kumuachia jamaa ubunge..
Kwa lugha nyepesi amefika bei....
TUOMBE UZIMA TUTAYASIKIA YOOOTE KWA UWEZO WAKE ALLAH
mawazo yako finyu sana! Kwani lazima atumwe au ukikopa hela nje ni lazima kuna mtu anakutuma?Hizo lazima zitakuwa pesa za kampeni. Swali je; Nani huko Kenya anataka Kubenea awe mbunge na kwa manufaa gani? AU katumwa na nani?