Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Husimuonee p.mselewa ni kwamba sheria za kuingia au kutoka ndani ya nchi ziliwekwa kwa ajili ya usalama wa taifa kwa maana unaweza kuwa mtanzania lakini ukawa unahujumu taifa lako hivyo ndio maana kuna mipaka iliwekwa kisheria ili uweze kuruhusiwa na masharti yake, utashangaa kitu hapa pesa za kigeni hapa ndani zipo ukiitaji unaenda kubadilisha kila pesa hiyo unapotaka kuvuka mpaka lazima ubebe kwa kiwango Fulani na ihalalishwe na wanahusika,unatakiwa ujue kuna sheria zipo kama zimekufa lakini ikitokea umeharibu alafu ni famous inakuumiza,mfano:sheria ya umiliki wa laini tumeambiwa ukitaka kutumia zaidi ya moja omba kila wengi wanazo hadi kumi na hawajaomba siku ukiharibu hizo laini zitakuja kukufunga,zipo sheria nyingi zinaonekana kama mfu ila ukiaribu zinauma.
Sasa nyumba yako ina mlango wa kuingilia, wewe unarudi usiku saa sita unachupa ukuta, umeingia kihalali apo? Au hukufunzwa adabu kwenu?
Halafu kajifunze kitu:
Criminalization of Illegal Entry Around the World
Mahakama inahitaji ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kwa njia ya panya na si vinginevyo.Keshatiwa mbaroni tayari, hiyo ni hatua ya kwanza... hayo unayosema wewe yatajulikana mahakamani.
Swali la msingi, je ni lini kesi hiyo itasomwa na kumalizika?
Kesi ya Zombe Jaji aliwaambia upande wa mashtaka wakawatafute wauwaji wawalete mahakamani, Zombe hakuuwa mtu lakini alishtakiwa kwa kesi ya mauwaji.
Wengi humu bado hamuelewi kwa nini watu wengi hawafungwi mahakamani bado hamjajuwa mahakama hasa huwa inahitaji nini ili kumfunga mtu.