britanicca and Pascal MayallaSiku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Itabidi tukuogope BICHWA KOMWE -
Mwanahalisi limekuwa linapitia vikwazo miaka mingi sasa.Wanaweza kumfungia kuzuga tu.
Kwamba hao The real wana mabawa au? Wana nini cha ajabu kuzidi watanzania wengine?The real TISS guys watakuwa wanacheka sana wakiona unamfananisha Kubenea na wao!
Watu bwana 😁😁Real Tiss guys wakoje?
Huwezi kuwajua kwa sababu they are invisible.Circumstancial evidence
Kwamba hao The real wana mabawa au? Wana nini cha ajabu kuzidi watanzania wengine?
Nitajie mmoja tu unayemfahamu.Kwamba hao The real wana mabawa au? Wana nini cha ajabu kuzidi watanzania wengine?
Kuwa mtu mwenye busara. Hapa tunazungumzia Tiss kama idara ya taifa sio mali ya mtu. Hao wajinga wanaotishia watu bastola hawajitambui.Acheni kabisa Ku overrate Hawa Wajinga wanaoitwa TISS .
Ni wapuuzi kama wapuuzi wengine, Kwan sindo Hawa wànagombania mademu?? Na kutoa Bastola Nje???
Sindo Hawa Hawa ambao Mtaani Kila Mtu anamjua???.
Tukishaikomboa hii NCHI, Hamna Jiwe litasalia Juu ya Jiwe