Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
😁😁😁Nini tena?
😁😁😁Nini tena?
Hata wewe umejua kuwa nilikuwa nakuquote wewe mkono umeteleza ndio maana umenijibuMbona unaji-quote mwenyewe sasa?
Acheni kabisa Ku overrate Hawa Wajinga wanaoitwa TISS .
Ni wapuuzi kama wapuuzi wengine, Kwan sindo Hawa wànagombania mademu?? Na kutoa Bastola Nje???
Sindo Hawa Hawa ambao Mtaani Kila Mtu anamjua???.
Tukishaikomboa hii NCHI, Hamna Jiwe litasalia Juu ya Jiwe
Hahaha ila inaonekana ulikuwa unaandika kwa hasira sana Khantwe.Hata wewe umejua kuwa nilikuwa nakuquote wewe mkono umeteleza ndio maana umenijibu
Swali gani la kijinga hivi?Tukimtaja unapata nini?
Utaweza kuivunja Tiss?Acheni kabisa Ku overrate Hawa Wajinga wanaoitwa TISS .
Ni wapuuzi kama wapuuzi wengine, Kwan sindo Hawa wànagombania mademu?? Na kutoa Bastola Nje???
Sindo Hawa Hawa ambao Mtaani Kila Mtu anamjua???.
Tukishaikomboa hii NCHI, Hamna Jiwe litasalia Juu ya Jiwe
Umeshasema kwa mfano, huu ndio ujinga wenyewe ulio nao sasa.Ok, kwa mfano Mabere Marando ni afisa wa Tiss. Unapata faida gani?
Watoto wa Mjini tangu kitambo Hicho enzi za Mwanahalisi, etcHuenda ana mapandikizi yenye mizizi iliyojikita sana chini na yasio na kelele ndio yampa info
Wanatuzidi kwa sababu wao wametungiwa na Sheria zinawalindaKwamba hao The real wana mabawa au? Wana nini cha ajabu kuzidi watanzania wengine?
Hakika mkuuWatoto wa Mjini tangu kitambo Hicho enzi za Mwanahalisi, etc
Tulia maana huna la kusema.Ulitaka nisemeje?
Hahaha. 🚮Son of bitch.
Haya sio lazima usithibitishiwe nyumbu wewe uliwahi ona mtu anastaafu harafu anapotea?Alishikiwa bastola mafichoni!!?how sure you are!!?