Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
AtakubishiaIvona kamuntu nadhani Yuko Azam ni tiss pure mme wake pia ni mtangazaji jina likenitoka.
AtakubishiaIvona kamuntu nadhani Yuko Azam ni tiss pure mme wake pia ni mtangazaji jina likenitoka.
Mimi nina damu tuu ya ki TISS TISS kwenye veins zangu, kwasababu wazazi wangu wote wawili (RIP) walikuwa maofisa wa juu wa TISS, nilimjua Dingi ni Tiss, nikiwa darasa la 5 kwa kumsoma jina lake gazetini, nikaja kumjua Maza nae ni TISS, nikiwa form 5 Iliboru, baada ya kumpa lift mwanafunzi mwenzangu wa Ilbori, tukapewa lift na gazi ya kazini kwa Maza, tukampitisha kwanza maza kazini, kisha gari ikatupeleka shuleni boarding, baada tuu ya kushuka, ndio jamaa akaniuliza kumbe mama yako anafanyia kazi ofisi ile, ndio akaniambia hiyo ni ofisi ya hao jamaa!, ndipo niliporudi home nikamuuliza maza, alinyamaza hakunijibu!.Wewe upo kwenye kundi namba ngapi ndugu Pascal Mayalla?
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni🥺🥺🙌🏿.Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Kama alimtaja afisa wa tiss je yeye ni polisi?Yeye ni afisa wa polisi? Acha ushwaini.
Kuna brother wako mmoja yupo kwa hao, kuna kipindi miaka ya nyuma nilikuwa nakutana nae sana Town na Tanga. Alinipa mpaka ushauri wa kuchukua plots muheza na alikuwa uswahiba sana na Mh Adadi.Mimi nina damu tuu ya ki TISS TISS kwenye veins zangu, kwasababu wazazi wangu wote wawili (RIP) walikuwa maofisa wa juu wa TISS, nilimjua Dingi ni Tiss, nikiwa darasa la 5 kwa kumsoma jina lake gazetini, nikaja kumjua Maza nae ni TISS, nikiwa form 5 Iliboru, baada ya kumpa lift mwanafunzi mwenzangu wa Ilbori, tukapewa lift na gazi ya kazini kwa Maza, tukampitisha kwanza maza kazini, kisha gari ikatupeleka shuleni boarding, baada tuu ya kushuka, ndio jamaa akaniuliza kumbe mama yako anafanyia kazi ofisi ile, ndio akaniambia hiyo ni ofisi ya hao jamaa!, ndipo niliporudi home nikamuuliza maza, alinyamaza hakunijibu!.
Sisi tumezaliwa 8, 5 kati yetu ni watumishi wa serikali, watutu nikiwemo mimi tuko sekta binafsi!, siwezi kuwasemea ndungu zangu, ila mimi sio!.
P
Hawa tunaopishana nao daily ndio wamekuwa invisible?Huwezi kuwajua kwa sababu they are invisible.
Huijui tiss, unaweza ukawa Tiss na ukahukumiwa kunyongwa ila tarehe ya kunyongwa sasa ndio huwa haitajwiNaamini atakuwa anapenyezewa tu habari, kama angekuwa TISS kweli wasingelifungia gazeti lake la Mwanahalisi.
Duh,Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Kama lyatonga mrema angekua hajawah shika nafasi za dso na nyingine kubwa serikalini kama wizara ya mambo ya ndani ungemkuta mrema yule anaichachafya ccm na serikali kwenye majukwaa ya vyama pinzani, ukamuambia mtu kuwa yule ni tis nani angekuamini? Lyatonga kuna mwaka kafanya mkutano wa siasa sehem katukana ovyo viongozi wa serikali, polisi walimdunda sana. Lakini ukweli ukabaki kuwa yule ni kitengo mpaka alivoenda kula udongoHuijui tiss, unaweza ukawa Tiss na ukahukumiwa kunyongwa ila tarehe ya kunyongwa sasa ndio huwa haitajwi
Jamani naomba na nipewe connection ya kuwa hata mfanya usafi ndani ya geti au nje wa TISS
Wewe unaweza kua na akili tu za kuzaliwa..ila wale jamaa wanafundishwa logic nyingi sana za kimazingira hata kama mtu alikua mpumbavu kabisa anaweza kuanza kuangalia mambo kama mtu mwerevu.Sijui kwa nini Tiss pekee ndio wanaonekanaga kuwa na akili
Mmmh ivona naeIvona kamuntu nadhani Yuko Azam ni tiss pure mme wake pia ni mtangazaji jina likenitoka.