Hili la Nchimbi wala halikuwa siri ni Bongo tu hakuna waandishi wa habari.Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Ugomvi wa Nchimbi na Samia ulikuwa unajulikana na yaliyoongelewa kwenye kikao wengi waliyajua.Fafanua kiduchu.
Ukotaka kuwa mwadishi mbobevu lazima uwekeze kwenye sources za habari.Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Unaikomboa nchi gani? Mbona tumeshakombolewa toka mwaka 1961?Acheni kabisa Ku overrate Hawa Wajinga wanaoitwa TISS .
Ni wapuuzi kama wapuuzi wengine, Kwan sindo Hawa wànagombania mademu?? Na kutoa Bastola Nje???
Sindo Hawa Hawa ambao Mtaani Kila Mtu anamjua???.
Tukishaikomboa hii NCHI, Hamna Jiwe litasalia Juu ya Jiwe
🤣🤣🤣 Hamna nilikuwa tu na harakaHahaha ila inaonekana ulikuwa unaandika kwa hasira sana Khantwe.
Ndio wametuzidi kiasi cha kuwa na uhakika kuwa yule hawezi kuwa pale?Wanatuzidi kwa sababu wao wametungiwa na Sheria zinawalinda
Ivona kamuntu nadhani Yuko Azam ni tiss pure mme wake pia ni mtangazaji jina likenitoka.Nitajie mmoja tu unayemfahamu.
Mayalla ni pangu pakavu tu tia mchuzi hana hiyo sifa
Mume wa Ivona anaitwa Raymond Nyamwihula kama kumbukumbu yangu ipo sawaIvona kamuntu nadhani Yuko Azam ni tiss pure mme wake pia ni mtangazaji jina likenitoka.
Kwa hizi ID za JF au majina yao halisi?Nitajie mmoja tu unayemfahamu.
Kule Tiss kuna watu pia roho zinawauma namna nchi inavyoendeshwa, hivyo kwasababu wao hawawezi kusema ndiyo wanawapenyezea watu kama Kubenea, Mange nk.Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Hawawezi ropoka roka hovyo taarifa muhimu Huku wakiwa wanafahamika na kushindana serikali inayomlipa mshaharaReal Tiss guys wakoje?
Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
No one can say for sure who is TISS for real and who is not, kwasababu TSS ina watu wa aina 3Kubenea ni mwandishi kamili wa habari za uchunguzi
Wewe upo kwenye kundi namba ngapi ndugu Pascal Mayalla?No one can say for sure who is TISS for real and who is not, kwasababu TSS ina watu wa aina 3
Kama nilivyosema, ma TISS wenyewe halisi wako kila mahali, hata kwenye fani yetu ya waandishi ma tiss wapo, ila Kubenea sio TISS, ila ni mwandishi mzuri wa habari wa IJ, habari zake zote za uchunguzi, anatumia open sources na technique za ku search taarifa fiche na kuzifichua, lakini hakuna jambo lolote aliloandika lina taarifa nyeti kumjulisha yeye ni TISS.
- Waajiriwa wa Tiss ambao wanasomea na kuajiriwa na kufanyia kazi TISS, hawa ni professionals kama professionals nyingine zote, wanajilikana kwa majinana na vyeo vyao kuanzia DGIS, ma RSOs ma DSOs wakiamka asubuhi wanakwenda kazini kwenye ofisi za TISS na zinajulikana
- Kuna ma TISS by nature ya positions zao, wana obligation to report, hawa ni wakuu wote wa ofisi za umma na wakuu wa idara wote wa MDAs
- Kuna ma informers, na ma implants, hawa sio wote ni waajiriwa wa TISS, TISS wakitaka info popote kumhusu mtu yoyote wanayemchuguza, wanaweza kum plant TISS au kum recruit mtu wa hapo kuwa informer wao wa wanachotaka, hivyo kwenye vyama vyote wapo, kwenye bodi zote wapo, kwenye management zote wapo. Kwenye hili kundi, anybody can be approached, recruited na kuwa informer wao, hivyo wapo kila mahali, kuanzia madereva boda, taxi, wauza kahawa, ma shoe shiners, mama ntilie, hadi ma dada poa, hivyo no ene can say for sure who is tiss and who is not kwasababu huwezi kuwajua, hata humu jf wapo!.
Hii ya VP, alitumia chanzo fiche kilichokuwa ni mjumbe wa CC ya CCM. Japo gazeti lake limefungiwa, nimeshauri Kubenea anastahili pongezi Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.
Pia nikazungumzia
Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?
Gazeti lilipofungiwa niliandika
CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!
Mzee Pasco