Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.

Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Aliyemteka Dr Ulimboka huyu hapa.

->Ni Ramadhani Ighondu.

Gazeti la Mwanahalisi June 2012
 
Back
Top Bottom